Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.

Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.

Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.

Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.

Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
1. Huwezi kuoa
2. Huwezi dini
3. Unatukuza u jobless
Kuna kuna kitu hakipo sawa unakificha.
 
Safi.

Watu mnaamka sasa.

A lie must surely perish.

On the throne of time religion must perish.

Religion must go!

Once you are born you are given a name, a nationality and a religion, You spend the rest of your life defining and defending fictional identities.

Religion is a fictional identity.

Congratulations for emancipating yourself from mental slavery.
 
Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.

Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.

Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.

Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.

Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Unakimbia kufunga bro!!!!!!

We funga TU mkuu jitahidi
 
Swali mujarabu ambalo hata imam wa Makkah hana jibu solid unless kama wanadai huko peponi wanawake hakuwahusu lakini vinginevyo kama nao kunawahusu bali kila mwanamke apewe vingwangwa vyake konki kabisa 72 awe anazagamuana kinomanoma kama midume nayo inapatiwa kila mmoja mademu 72 ambao wote wanakuwa na bikra zao mwanana kabisa.
Wagalatia nao eti ukimwani Yesu tu na kutubu regardless ujahili wote ulioufanya duniani mbingu ni ya kugusa tu unatia timu, na mbinguni inasemekana ni juu, sijui juu wapi wakati dunia inazinguka(though I know haya maandiko yaliandikwa enzi watu wakiamini dunia iko kama meza, they thought it was flat back in those days)
Dini zimejaa madudu ya kufikirika mengi ambayo hayana solid proofs.
😂😂Aisee
Kwamba ikizinguka mbinguni kutakuwa chini sio juu Tena 🤣🤣🤣
 
Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.

Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.

Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.

Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.

Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Aisee!!
 
Back
Top Bottom