Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

Haya sasa wasomi wameanza mambo Yao. Wewe unalima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine huyo. Nyie wajuaji bhana. Sasa atajifunza vipi bila kufanya makosa? Hata kama angeanza na heka kumi. Mpe ushauri productive na positive, mwache ajifunze kupitia makosa atakayofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Mkuu. Mwenyezi Mungu akutangulie. Big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madalali wataanza kuutafuta sasa hivi. Wapenda kula vya kitonga. Kazi afanye mwingine wao wajidai ndio wajuzi wa kuuza.
 
Mwingine huyo. Nyie wajuaji bhana. Sasa atajifunza vipi bila kufanya makosa? Hata kama angeanza na heka kumi. Mpe ushauri productive na positive, mwache ajifunze kupitia makosa atakayofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
nimemuuliza kama mtaji extra zaidi ya huo wa heka tatu, akaniambia ok, that's good
Angekua na mtaji wa eka tatu tu kisha akalima heka tatu, hiyo ni problem, maana hujui kitaendaje hicho kilimo ukizingatia ndio anaanza, ukiwa mjasiriamali kuna margin flani unatakiwa uweke kama insurance, ili mambo yakienda tofauti unaweza ukaingilia na kuokoa kwa wepesi, au kuanza tena ukiwa umejifunza tayari..
 
Yaani kunaviumbe wajuaji mpaka wanakera. Very stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wasomi wa bongo hasa wa miaka hii ya Leo ni watu wa ovyo sana na ni wa kupuuza.

Wasomi wengi wa bongo ni wavivu,waoga,wajuaji na ni wajinga pia.

Ukimchukua msomi wa bongo na msomi wa Kenya ambao wako level sawa kimaisha na hawana ajira baada ya miaka miwili msomi wa bongo utamkuta yuko pale pale anaomba hela ya nauli wakati huo wa Kenya atakuwa hata anaendesha NGO yake mwenyewe.

Huyo niliyemquote ni mmoja wapo ya wapuuzi ambao wanastahili kupuuzwa kwenye hili jukwaa.



sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Nimekuelewa Sana Mkuu. TZ tunafundishwa kufanya siasa, wakati wenzetu wanafunfishwa kuishi Kwa kutumia elimu waliyopata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid ni mtu anatoa povu kwa ushauri simple tu, kuweka provision kwa ajili ya matokeo hasi, beyond stupid
Vyovyote. Ungetumia Lugha nzuri sawa. Ume act kama ni mtu unajuuuuuua. Next time kuwa na staha na maisha ya watu. Usijione wewe ndio unajua kila kitu. Pia wape wenzio nafasi ya kujifunza. Toa ushauri wako lakini wenye mlengo wa kumtia moyo na sio kumuongezea woga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You seem more concerned with a message not directed to you, why is that?
 
Mkuu wapi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wana Jf ok nilikuwa shamban hko hata network haipo vizur ,ok nimeona maoni yenu na maswali yenu pia yote ni mazur na yanalengo moja la kujikwamua kutoka point moja hadi nyingine ,Kiukwel changamoto ni zipo kwenye kilimo lakini changamoto hizo haziwez nifanya(kunifanya) nikate tamaa never ever maana mimi mpaka sasa hivi naona nimechelewa am 24yrs now with nothing than education that I graduated, kitu ambacho siwezi nkawa proud of , Sasa kama nimechelewa natakiwa kukimbia pale ambapo watu wengine wanatembea. Oh karibu sana huku ardhi ipo unakodi kwa bei ndogo tu yaani 30k up to 50k Kwa msim mashamba yapo. Huu nimwanzo tu sasa hivi naanda pia shamba la passion hekari moja naotesha miche kwenye viriba zen mwez wa 10 napanda na hii project itakuwa tayar ya watermelon .hekar moja ya passion will make me a millionaire baada ya miez 9 hadi 14 stay turned

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…