Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

Hongera sana, wajasiriamali huwa kwa kawaida si waoga. Kama maji yanapatikana vizuri, Pambana. Allah akuonyooshe Mkuu.
 
Duhh aisee ni wazo zuri sana!! Kilimo ukiwa mfuatiliaji wa karibu kinalipa sana tu....

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
very true. Jana nimeongea na mshikaji wangu wa kateshi ambaye amelima heka 20, amesema anauhakikika wa kuvuna 450 bags za mahindi. gharama aliyotumia ni kama 12mil hivi. Kinalipa haswa. Kikubwa ni kuthubutu.
 
Umefanya jambo jema hata sisi waajiriwa tunajihusisha na shughuli binafsi nje ya ajira, napenda nikutie moyo kua utakutana na changamoto nyingi lakini usikate tamaa Dada yako nimeanza kuvuna saa hzi ninachoombea ni jua tu kukausha mazao yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up sana kwa age yako na kwa unachoanza kukifanya ukienda vizuri mpaka unafika 27 utakua next level kabisa........tikiti linahitaji maji, dawa na mbolea zingatia hayo utaniambia...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nitafutie shamba nije au nipe namba yako pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee hongera sana Dada yangu .Ninatamani kujifunza mengi sana kutoka kwako kuhus kilimo nimeona aisee umetisha sana.Naomba ruhusa yako niku pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimeipenda sana hii mkuu. Mm niliwahi fanya kama ww baada ya project ndio nikasema walipinga sanaaaa. Ila baadae mmoja mmoja akataka TU JOINI PAMOJA. Yani ww acha tu.
Sema baada ya kufanya tu.hasara ni sehemu ya bznes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…