Shikono Avant
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 123
- 129
Daah ni kweli kabisa mtoa mada upo sahihi, mimi ninaye binti wa kisabato kiukwel hana tamaa za ajabu, hana vizinga hela mpka niamue mimi, hatujawahi gombana hana maneno ya matusi....
CHANGAMOTO
Wapo seriously mnoo, Simpati kwa kwa wakati ubize mwingii
CHANGAMOTO
Wapo seriously mnoo, Simpati kwa kwa wakati ubize mwingii