fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Huko sabato utajuta bro,mke sio dini,mke ni mtuKwa hakika mapenzi yamekuwa kama biashara ,kuna mtu usipompa pesa anaona hapendwi na mwanaume asipopewa penzi anaona hapendwi,ila mimi sipo hivyo,hakika mabinti wanaotoka dhehebu la kisabato wana hofu ya mungu kwanza, hawana makuu ,hawana tamaa,nimepata binti wa kisabato ana kila sifa za kuitwa wife material natarajia ndo atakua mke wangu ndani ya miaka miwili
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app