Shikono Avant
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 123
- 129
Wanawake wa kisabato msimamo wanawawekea wengine ila wao kwa wao wanakulana sana kimasiharaNinaye jamaa angu msabato mbaguzi na katili kishenzi..hiyo kwenda camp huko anawatomb*** kishenzi mademu kiufupi ni watu wenye misimamo ya kipuuzi na matendo ya hovyo
Mkuu hao watakuwa sio wasabato...labda wanajifanya tu ni wasabato. Hawana qualities zozote za wasabato...Ndoa so dhehebu wala dini nishamess na msabato wa kanda ya kaskazini na mwingine wa kanda ya ziwa, ila nimeishia kuchezea vya mbavu tu.
Hofu ya mungu wanayo jumamosi tu siku zingine mizinga ileile, drama zilezile na ukizingua anakucheat kwa mpendwa mwenzake vilevile.
Watchout hizi makitu hazina formula nikuomba spiritual guidance coz only God knows who's right for you
Familia, Ukoo mzima hawawezi kupretend japo wengi wetu siku hizi kwenye masuala ya dini tunajifanya wadini na tunaenda mpaka kwa nyumba za ibada, swali ni je utatofautishajeMkuu hao watakuwa sio wasabato...labda wanajifanya tu ni wasabato. Hawana qualities zozote za wasabato...
Watofautishe kwa Matendo yao...Ndio maana nakwambia hao sio wasabato...Familia, Ukoo mzima hawawezi kupretend japo wengi wetu siku hizi kwenye masuala ya dini tunajifanya wadini na tunaenda mpaka kwa nyumba za ibada, swali ni je utatofautishaje
DuhWanawake wa kisabato msimamo wanawawekea wengine ila wao kwa wao wanakulana sana kimasihara
UmeWeka vyema.Ukweli mnajitahidi sana kwenye hilo. Musilamu aliyeshika dini sana ya kiislamu anaishi maisha yaliyonyooka kuliko hata mchunganji wa kikristo ama padri aliyeshika dini sana ya kikristo.
Shida watu wa kati kati walioshika dini kidogo. Waisilamu wanakuwa washenz kuliko wakristo