Nimeamua kuoa Msabato

Nakuhakikishia hiyo ndoa ishavunjika tayari kama matarajio yako ni hayo.....sifa za mwanamke kuwa mke ni zaidi
 
I agree with you. Kitimoto ni kifo. Ni hatari kwa usalama wa dunia. I wish you all the best.
 
Mimi mkristo ila napenda ndoa ya kiislamu sababu inaendana na uhalisia wa maisha yetu. Ila ikishindikana ya kiislam. Ya ki sabato nayo naipenda sana. Maisha ya wasabato walioshika dini yao ni mazuri sana
Kindly elaborate more hapo kwa line ya mwisho.
 
Ishu sio Sabato, Mbona Mimi mke wangu ni Mkatoliki na familia ameishikilia vizuri tu, pamoja na kwamba Mimi kwa miaka mitatu nipo shule?!!!.
 
Kuna kitu nimekiona kwa wasabato walio wengi “ubinafsi” sasa sijui kipi kinapelekea wengi wao wawe wabinafsi!! Ama ni mtazamo wangu tu????
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Upo sahihi Mkuu
 

Mkuu naomba nikuunge mkono kabsa maana kwa sasa nko kwenye ndoa ya miaka 4 na Mke wangu n msabato safi kabsa.
1-Tangu nioe sijawahi ona soda home zaidi ya juice ya passion au maembe na matunda tunda ya msimu ambayo ipo tu hapo nyumban everyday tangu juma3 hadi juma3. Nyama n kuku tu na occasionally red meat ila green na herbs kama kawa. Rozela, beetroot, nuts na mbegu mbegu na machakula yao yaan full natural food.
2- Wife yuko tu home muda wote akitoka church n home hakuna mambo ya mikesha wala kurud usiku maana hadi kwenye harusi akisema niende kumchukua mwisho labda ni saa mbili au tatu mwisho
3- Kila asubuh na jioni saa moja lazma maombi yafanyike hata km uko mbali unapgiwa simu naambiwa Baba tunafanya maombi tunakuombea basi hyo kauli inanikataa maini nikiwa nafanya mambo yangu ila basi tu
4- watt wanajuaa kukariri mafungu tu ya bible na wakiona song la diamond wanajuaa ni nyimbo za shetan basi hata mim nkirud simu ikiita utasikiaa mama simu ya dad inanyimbo ya shetan basi wife anabadirisha anaweka wimbo ya kwetu pazur[emoji16][emoji16]
5- Kuoa wasabato kuna raha yake bana. Ila ujue tu maombi ya wife yatakufanya hata njia mbaya na show za nje zharibikee[emoji16][emoji16]. Ila n watu Safi kabsa.
6- Hawana mambo ya kutembeleana hovyo hvyo km dini nyingine ila kufunga na kuomba n kila jumatano moja ya mwisho wa mwezi. Wengi wa wasichana ni wife material km ukituliaaa na kuchagua vzur na ni waalimu bomba sana kwa watoto
 
Uko sahihi mkuu. Mafanikio ya mwanaume yanapimwa na vitu vitatu, 1 - Afya yake. 2 - Kipato. 3 - Familia bora. Sasa mimi nimepiga mahesabu yangu nimeona binti wa kisabato ni daraja zuri la kuwa na mafanikio kwa kuzingatia hivyo vitu vitatu. Hawa wengine wanabugia Savannah, Kitimoto, hela ya kusuka, kutoka na marafiki, na mambo mengine ya kishetani hawafai kwa mwanaume unayetaka kufika mbali.
 
Umeongea kama wafanyavyo ma-insperational speakers... WENGINE KWENYE BIASHARA YA MCHELE WALIANZA NA PUNJE MOJA YA MCHELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…