Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuhakikishia hiyo ndoa ishavunjika tayari kama matarajio yako ni hayo.....sifa za mwanamke kuwa mke ni zaidiNimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo. Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu Wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake. Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.
4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana. Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.
5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu. Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.
Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana. Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi. English kuanzia D.
Ndiyo WasabatoWasabato sio!? [emoji1]
Hahahaha! Namba nane is the thing of the past sasa tumehamia usabatoni, hayo ma shape yenu mkanywee chai[emoji41]Mmeacha wenye namba. Nane saa hizi mmeamia kwa wasabato
Mnatuchanganya jamani
Una C ya hesabu?Mmeacha wenye namba. Nane saa hizi mmeamia kwa wasabato
Mnatuchanganya jamani
I agree with you. Kitimoto ni kifo. Ni hatari kwa usalama wa dunia. I wish you all the best.
Ni watamu sana hasa ukute unajua kumkoleza, unamtafuna huku akitoa miguno yake ya kuskilizia utamu kwa namna ya kutetema kama vile wanavoimba-ga [emoji1]Ndiyo Wasabato
Kindly elaborate more hapo kwa line ya mwisho.Mimi mkristo ila napenda ndoa ya kiislamu sababu inaendana na uhalisia wa maisha yetu. Ila ikishindikana ya kiislam. Ya ki sabato nayo naipenda sana. Maisha ya wasabato walioshika dini yao ni mazuri sana
Ishu sio Sabato, Mbona Mimi mke wangu ni Mkatoliki na familia ameishikilia vizuri tu, pamoja na kwamba Mimi kwa miaka mitatu nipo shule?!!!.Watoto wa kisabato kiukweli wametulia saaaaana pamoja na mapungufu ya kibinadamu,mi nimeoa msabato aiseeh burudani mno havina hasira za kijinga ni waaminifu Sana ila tatizo lao Ni sabato yao tu daaah fanya yote ila sabato yao usiibughudhi, kiukweli need nimeridhika hata jamaa yng nilimshauri leo hajutiiii
Upo sahihi MkuuKuna kitu nimekiona kwa wasabato walio wengi “ubinafsi” sasa sijui kipi kinapelekea wengi wao wawe wabinafsi!! Ama ni mtazamo wangu tu????
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Haki ya Nani siwezi kuacha kutafuna kitimoto.
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo. Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu Wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake. Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.
4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana. Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.
5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu. Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.
Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana. Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi. English kuanzia D.
Uko sahihi mkuu. Mafanikio ya mwanaume yanapimwa na vitu vitatu, 1 - Afya yake. 2 - Kipato. 3 - Familia bora. Sasa mimi nimepiga mahesabu yangu nimeona binti wa kisabato ni daraja zuri la kuwa na mafanikio kwa kuzingatia hivyo vitu vitatu. Hawa wengine wanabugia Savannah, Kitimoto, hela ya kusuka, kutoka na marafiki, na mambo mengine ya kishetani hawafai kwa mwanaume unayetaka kufika mbali.Mkuu naomba nikuunge mkono kabsa maana kwa sasa nko kwenye ndoa ya miaka 4 na Mke wangu n msabato safi kabsa.
1-Tangu nioe sijawahi ona soda home zaidi ya juice ya passion au maembe na matunda tunda ya msimu ambayo ipo tu hapo nyumban everyday tangu juma3 hadi juma3. Nyama n kuku tu na occasionally red meat ila green na herbs kama kawa. Rozela, beetroot, nuts na mbegu mbegu na machakula yao yaan full natural food.
2- Wife yuko tu home muda wote akitoka church n home hakuna mambo ya mikesha wala kurud usiku maana hadi kwenye harusi akisema niende kumchukua mwisho labda ni saa mbili au tatu mwisho
3- Kila asubuh na jioni saa moja lazma maombi yafanyike hata km uko mbali unapgiwa simu naambiwa Baba tunafanya maombi tunakuombea basi hyo kauli inanikataa maini nikiwa nafanya mambo yangu ila basi tu
4- watt wanajuaa kukariri mafungu tu ya bible na wakiona song la diamond wanajuaa ni nyimbo za shetan basi hata mim nkirud simu ikiita utasikiaa mama simu ya dad inanyimbo ya shetan basi wife anabadirisha anaweka wimbo ya kwetu pazur[emoji16][emoji16]
5- Kuoa wasabato kuna raha yake bana. Ila ujue tu maombi ya wife yatakufanya hata njia mbaya na show za nje zharibikee[emoji16][emoji16]. Ila n watu Safi kabsa.
6- Hawana mambo ya kutembeleana hovyo hvyo km dini nyingine ila kufunga na kuomba n kila jumatano moja ya mwisho wa mwezi. Wengi wa wasichana ni wife material km ukituliaaa na kuchagua vzur na ni waalimu bomba sana kwa watoto
Umeongea kama wafanyavyo ma-insperational speakers... WENGINE KWENYE BIASHARA YA MCHELE WALIANZA NA PUNJE MOJA YA MCHELENimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;