white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sio kweli, hebu nipe mchanganuo huo hasa kwa mtu anayeishi mbagala na kufanya kazi posta au masaki!!wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
hiyo bei ni ya mamlaka ya usafurishaji lakini pia ni bei kukugandisha kituoni for2-3hrz, ni bei kujadiliana na kubishana tu humu jukwaani na kupeana moyo.Unaongea usichokijua!!!!
Tufanye mimi ninayegeuza na gari sababu sipendi kusimama
Chanika to gongo la mboto 800
Gongo la mboto to posta 1200
2000 ×2 = 4000, 4000 ×30= 120,000
Route 2
Chanika to M/complex 2100
M/complex to posta 600
Jumla 2700×2=5400, 5400×30= 162,000
NB: HII NI KWA WALE WANAOPENDA KUGEUZA NA GARI! KUMBUKA SIO KILA SIKU MTU ATAENDA MJINI.
Aya hiyo laki nne ipo wapi???
Etugrul Bey
mchanganuo wa nini kwenye kitu halisi na bayana kabisa....Sio kweli, hebu nipe mchanganuo huo hasa kwa mtu anayeishi mbagala na kufanya kazi posta au masaki!!
Uamuzi mzuri,maana wengine wanakomaa mpk wanachukua mikopo ili isionekane mambo yamekaza,muhimu ni amani ya moyo,ukirudi nyumbani jioni ndinga yako unaikuta imepaki,siku mambo yakikaa vizuri unanyoosha...Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Kama mshahara wako gross ni pungufu ya mil 6 ni hasara kupanda private car Dar. Hakikisha kipato chako Kwa mwezi ni mill 6 either mshahara, au mshahara na madeal mengine.sichukii nimekaa sana huko naelewa mtiti wa garama za nauli, muda mrefu sana njiani kwenda kazini na kurudi home 🐒
sijakomaa ndivyo ilivyo...Kuna mwamba humu hakubali kushindwa...amekomaa na nauli ya 400k-700k per month...
95% humu wengi wao vipato vyetu havizid 1.5M gross, 4% havizid (1.51Mil-3Mil), 1% ndio wanaanzia 3.1M kwenda juu. Nikiwa naamaan humu wenye maisha ya Milo 3 niwengi, lkn hawana akiba hata kidogo bank.Hawa ndio wajf wanabadilika km vinyonga mara ni matajiri ghfla tu wote wanatumia bodaboda
Usafiri gan laki 4 mkuu, labda wanapanda bajaji/bodaboda kwenda na kurudi.sijakomaa ndivyo ilivyo...
kausha damu wanajitanua tu....
Ndio mkuu kama huna mill 6 kheri upande Daladala tu, lkn watu hatusikii.kama kipato chako kwa mwezi ni chini ya milioni 6 usinunue gari ,vinginevyo utakuwa mwizi au mtumwa wa maisha yako mwenyewe, by genarali ulimwengu.
sio dhambi kabisa kupanda usafiri wa uma,tena huwa nashangaa mtu anaenda mpaka posta kwa piki piki ya kukodi shilingi elfu 7/7 kila siku,najiuliza kwani kama ana haraka si aamke walau saa moja!!!!
anyway kila mtu na hela zake,ila generali alishauri hivyo hapo juu.
Fanya konda anataja nauli 2000 badala ya 1200, anataja nauli 1000 badala ya 600, hapo jumla ni 3000 kwenda na kurudi 3000, jumla inakua 6000, chukua 6000×30=180,000/= laki nne haiwezi kufika mkuu.hiyo bei ni ya mamlaka ya usafurishaji lakini pia ni bei kukugandisha kituoni for2-3hrz, ni bei kujadiliana na kubishana tu humu jukwaani na kupeana moyo.
bei halisi sio hiyo...
kumbuka ili kupata usafiri ni lazima uzunguke na daladala kwa kulipa nauli mbili unapokwenda kazini na kurudi nyumbani, na hapo ni kistaaarabu....
kuna ile bei ya kutajwa na konda mbina utafurahi....
upende isipende laki4 inakuhusu...
kwa bei hiyo utachelewa sana kazini kila siku, utachelewa kupumzika na utachelewa mno kufika nyumbani na kuigharimu ajira au kazi yako
Kasema mshahara 700k,nauli 400k.Kuna mwamba humu hakubali kushindwa...amekomaa na nauli ya 400k-700k per month...
Mbona Walimu na manesi umewatoa ndugu au wao hawamo humu [emoji3059][emoji3059]95% humu wengi wao vipato vyetu havizid 1.5M gross, 4% havizid (1.51Mil-3Mil), 1% ndio wanaanzia 3.1M kwenda juu. Nikiwa naamaan humu wenye maisha ya Milo 3 niwengi, lkn hawana akiba hata kidogo bank.
Hao ndio wale ambao vipato vyao havizid 1.5M ambao ndio tulio wengi humu.Mbona Walimu na manesi umewatoa ndugu au wao hawamo humu [emoji3059][emoji3059]
Maana wao vipato vyao ni kati ya 350K - 900K
Jumlisha 2000 x 30= 60,000/= ya boda hadi kituo cha daladala kutoka/kwenda nyumbani inakua 240,000/= makadirio ya juu haya.Fanya konda anataja nauli 2000 badala ya 1200, anataja nauli 1000 badala ya 600, hapo jumla ni 3000 kwenda na kurudi 3000, jumla inakua 6000, chukua 6000×30=180,000/= laki nne haiwezi kufika mkuu.
ephen_
wanaongea tu hawajaishi mitaa hiyo acha kabisa....Kasema mshahara 700k,nauli 400k.
Ila msimbeze..anaweza kuwa sahihi. Kuna jamaa yangu anaishi Chanika na familia yake.
Anafanya kazi Makumbusho na mke wake anafanya kazi Mnazi mmoja.
Kutoka kwake mpaka kituo cha daladala lazima wapande bodaboda kwa 1500 na hawawezi kupanda "mshikaki"
(Hii ni kwenda kituoni tu,kuna wakati wa kurudi pia)
Ana mtoto wa shule,anamlipia 35k kwa mwezi.
Jamaa anapata shida sana mpaka anatamani arudi mjini akapange ila mke wake hashauriki.
Kipindi cha mvua ndo inakuwa balaa..
Kwenda 10km,Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.