Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Bora umelijuwa hilo maana ukijifanya unavumilia utajuwa hujuwi.
Mambo ya kulala na mwanamke afu usku ukigeuka kumtazama sura unaona kama umelala na dume, nan anataka? Mtatusamehe asee mambo ya kusema utoto hzo n porojo. Kila mwanamke anataman kuwa na mwanamke mwny mwonekano mzuri, kama ulioa polygon pambana nalo, ustake kutiaminisha et oooh mapoligon ndo wana akili za maisha mfyuuuuuuuu
 
Harmo anadai range lake uko kajala 1 & 2
Si kadi ya range anayo yeye? Ataipata tu, dah ila hakuna nilichopenda kama penzi lile kufa.
Watu wanatufanya tujisikie hatujawahi pendwa wanabandikana kwenye mabango aiiiiiiiiiii mtu ushakuwa mmama unaanzaje kumkubali mtoto mdogo vile?

Naskia harmo ana mtoto mbichi kajala akatulie.
 
There is no such a thing..

Watu wafanya mabaya na wanadunda tu mpaka wanaingia kaburini.
Nashangaaga sana mtu anayeleta mambo ya karma sjui nn na nn. Huwa namwona n mtu asiye na uelewa wa mambo. Au hyo karma inafanya kaz Africa tu?. Ona waarabu wameuza mababu zetu kwny biashara za utumwa wakapata utajiri leo hii vizaz na vizaz wanarithishana ule utajiri na bado wanadunda pale k. Koo kwny magorofa. Wao hawana karma

Check wazungu wameiba madini africa miaka nenda rudi na bado wanaiba vp karma haiwaoni?
 
Huyo mwanamke akuviziee akumwagie maji ya motoo usoo uchakaee huooo[emoji706][emoji706] Alokwambia mwanamke anakuwa mzudi kadiri unavyoishi nae nani??? Huyo mbaya leo unamuachia nanii...
Haha hawa ndio aina ya wale wanaume wanaomwagiwagwa maji ya moto wakiwa wamelala au kuwekewa sumu kwenye chakula.
 
Unique Flower hapa umetema madini Sana walahi!! Nimekuelewa vizuri Sana.
 
Haha hawa ndio aina ya wale wanaume wanaomwagiwagwa maji ya moto wakiwa wamelala au kuwekewa sumu kwenye chakula.
Yanii hili la kulikomeshaaa haswaaa...[emoji3][emoji3][emoji3] Eti sura mbayaa...nguo hazimkaiii fwakeni
 
Yaani wewe ni mfuko kabisa bure kabisa hamna kitu hata moja nani kakuambia mwanamke atakuwa pisi kali maisha yake yote?
 
Nahisi ulianza uhusiano naye ukiwa huna pesa now umepata you can afford wale unaowataka.
Hii inatokea kwa wanaume wengi, wanaowataka hawawafford so wanaoa wale wanaowafford halafu maisha yakichange anaanza chepuka na anaowafford
Hapana, sema nahisi kuna nguvu ya ziada ilitumika mana kwa sasa kila nikimuangalia sipendezwi nae hata kidogo,
 
Hakuna me mwenye kujielewa na mwenye familia akaandika upumbavu wa namna hii, vipi na watoto aliokuzalia wana hexagonal shape?

Kuna watu ni wana ujinga mwingi sana.
Sitaki kuwajadili watoto ila nikipata majibu ya kuwahandle ndo atajua kilichopo kichwani mwangu
 
Jamani kibanzi ndio nini?!

[emoji1787][emoji28]

Wewe Mwanaume una ila na gubu ! [emoji38]
Kama isingekua swala na anonymity ningetuma picha yake ya kuanzia kifuani, yani yuko kama moja, mbele nyuma nyuma mbele, Mungu anisamehe ila ukweli hapana
 
Mwanaume halis8 hachagui chagui mwanamke wa kuishi naye.

Sisi wanaume wa ukweli huwa tunaona thamani ya kila mwanamke.

Yaani tunapiga kokote na tukiamua kuoa tunaoa tu maana huwa hatuangalii watu wanSemaje au wanatuonaje ikiwa pini tunapiga bila kuringa na ikiwa hivyo hivyo tunapiga na raha tunapata pia.
 
Hakuna me mwenye kujielewa na mwenye familia akaandika upumbavu wa namna hii, vipi na watoto aliokuzalia wana hexagonal shape?

Kuna watu ni wana ujinga mwingi sana.
Huyu jamaa kaandika uzi kufurahisha MMU tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…