Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

Inaone hujawahi kula mapisi makali.

Sisi tunaokula pisi za aina zote tunasema Wanawake woote ni sawa.
 
Mwendo uneumaliza
 
?
 



Kwa hiyo ikitokea kuzaa mtoto wa kike mwenye sura ya Baba yake utafanyaje Kwa mfano?

Yeye kajikuta kazaliwa amefanana na Baba yake sasa afanyeje ?

Uzuri si sura ni tabia na moyo Safi.
 
Mnatafuta mchawi bure tu... mtu ambaye hajawahi kuoneshwa upendo katika makuzi yake ni ngumu sana kuja kumpenda mtu mwingine, kila mtu utamuona ana kasoro na hiyo kasoro itakusumbua kama hujajaliwa moyo wa upendo.
Swali kwa mleta mada, Unampenda nani hapa duniani? Mama? Baba? Ndugu zako? Au rafiki yako?

Na je una rafiki wa kike ambaye unamkubali sana na zinaiva kati yenu? Kama unaye muombe umuoe, akikubali labda utatuletea ushuhuda mwingine, kama sivyo mtafute msichana mwingine umuoe labda ushuhuda utabadilika siku za mbeleni. Hapo ndipo utajipima kama unauwezo wa kupenda ama lah.

Hata hivyo, grasses are not greener on the otherside.. Jaribu ili pia umsaidie huyo dada akaishi kwa amani sehemu nyingine, Ukiendelea kujilazimisha kuna siku utaanza kumuabuse. Vifo vya kwenye mahusiano yoyote havitokei kwa bahati mbaya, Mapenzi yanaenda sambamba na huruma, hata mtu akikukosea vipi, ukishaweka huruma basi utasamehe, usipoweka huruma jua humpendi hata kidogo. Ukiona umeweza kutamka kuwa fulani simpendi hata kama hajakusikia, jua kuwa humpendi kweli kweli.
 
Kama isingekua swala na anonymity ningetuma picha yake ya kuanzia kifuani, yani yuko kama moja, mbele nyuma nyuma mbele, Mungu anisamehe ila ukweli hapana



Ngashooka kapisa [emoji122]

Sasa ongeza matunzo mpe hela awe anaenda kufanya shopping mwenyewe ya yale auapendayo.

Mpe furaha.

Usione vyaelea vimeundwa.

Akipata matunzo huyo utamsahau nakwambia.
 
Kama isingekua swala na anonymity ningetuma picha yake ya kuanzia kifuani, yani yuko kama moja, mbele nyuma nyuma mbele, Mungu anisamehe ila ukweli hapana
Kwahiyo mkuu tuseme alikuloga au?
 
Mkuu ukisema kila mwanaume amuache mkewe kisa kawa mbaya hamvutii tena sijui kama kuna ndoa itabakii...!! Mwanaume kutumia kigezo cha ubaya kumuacha mke uliemuoaa wew ni mjinga na unahitaji kupewa funzo ujutie ujinga uliofanya.

Aone na hii mleta Uzi 😀,sisi male sijui tunataka nini
 
Hii comment si ya kuipuuza.
 
Kama isingekua swala na anonymity ningetuma picha yake ya kuanzia kifuani, yani yuko kama moja, mbele nyuma nyuma mbele, Mungu anisamehe ila ukweli hapana
Ah ah ah kaka nimekushindwa sasa kabla hujamuoa hukuona hayo?
 
Anagalia mke wa kelvin huyu hapa mbona yeye kavumilia
 
Itoshe kusema huu uzi umenisikitisha Sana...no wonder Maisha ya Sasa mapenzi ya kweli yamepotea,maana huyu dada akiachika hapo ole wake huyo mpenzi anayefuatia
 
Haya mke wa shabani huyu hapa walikutana kwenye mendokasi mbona kavumilia tu
 
Haya mke wa jamaa yetu mawazo huyu hapa walikutana supermarket mbona wamedumu tu
 

Huyu ni mke wa bilionea mmoja huko nchi za nje na wamevumiliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…