Nimeamua nibadilishe type za wanaume

Huyu ni Mbaga Jr mtupu isipokuwa hapo kwenye kusoma kwa tabu
 
Pole kwa yaliyokukuta
Ila everyone Ana preference zake
 
Ivo nitamfundisha
Na kwakuwa Ana akili na hofu ya Mungu atabadilika
 


yaani kama umezaliwa mjini utakuta yale mengi ambayo ulofundishwa kuwa hayafai na wazazi wako yeye ndio anayafanya.
Matharani; Kuacha mswaki kwenye sink bafuni (direct contact), kufunga mlango wa Friji , gari kwa kubamiza kwa nguvu puuuuh , kunywa chai kwa kupuliza n.k

Binadamu wengine uwalone kwa nje tu lakini kuishi nae yataka moyo.
Ila ya uchafu .
Kufunga Magari , Friji kwa nguvu puuuh.
Kuacha mswaki bafuni kwenye sink,
Kula na kuacha kila kitu hapohapo n.k
Utakuta yake ambayo ulifundishwa kuwa hayafai yeye ndio anayafanya πŸ˜€
Mfano kunywa chai kwa kupulizia.
 
Ndio binadamu kila mtu Ana mapungufu ni kuvumiliana ata yy anaweza kunikuta na mapungufu anbayo na yy akiyavumilia tunaishi
 
Wanaume wapole, washamba, wapambanaji na wawekezaji wa Dunia na mbinguni tunaonewa sana.
Sisi tunakuwa chaguo la mwisho baada ya maslay queen kutumika na masharobalo wakatendwa ndio wanaona umuhimu wetu. Na sisi tunataka mademu kutoka vijijini huko nipate mshamba mwenzangu.
 
MKIMALIZA KUCHANGIA MTANIAMBIA NIMUULIZE DADA KWENYE PRIME TIME YAKE YA 20,S..............ALIKUA NA AKINA NANI......MPAKA SASA HIVI KILOMETA ZIMEENDA ANATAKA KUVURUGA VIJANA ALIOWAKATAA ALIPOKUA KWENYE PRIME YAKE YA 20,S???
 
Hii ndio pointi........na wew kaoe mtoto mbichi.......achana na used item,s.
Alikua wapi kukuchagua alipokua in her prime year,s 20,s....!!!
 
Hii ndio pointi........na wew kaoe mtoto mbichi.......achana na used item,s.
Alikua wapi kukuchagua alipokua in her prime year,s 20,s....!!!
Kabisa wakiwa kwenye ubora wao ukamfata na nguo zako za mipauko pamoja na swaga za kikanisani ikiambatana na lafudhi ya kinyumbani anakuona kolo.
Sasa wamepigwa na kitu kizito Kwa masharobalo wanarudi kwetu na kilometer zao zimeshasoma hatutakii.
 
MKIMALIZA KUCHANGIA MTANIAMBIA NIMUULIZE DADA KWENYE PRIME TIME YAKE YA 20,S..............ALIKUA NA AKINA NANI......MPAKA SASA HIVI KILOMETA ZIMEENDA ANATAKA KUVURUGA VIJANA ALIOWAKATAA ALIPOKUA KWENYE PRIME YAKE YA 20,S???
"K" imeishachakwa mpaka basi na wahuni kiasi kwamba kuta za "k" zimeishaishiwa elasticity limebaki tundu tu la kukojolea alafu anatafuta mme? This is not fair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…