Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?