Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.

Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.

Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Kwanza nyie watu mnao andika kitabu cha kuwa tajiri ni kudanganya watu tu!

Mtu ana andika kitatabu cha kuwa tajiri alafu na yey anakiuza 😂. Wew tu mfano mzuri umekosa ela ya kuprint

Nyie hamna tofauti na wale wa tuma kweny namba hii jina litakuja******
 
Wew yaan njia za kupata pesa kirahisi uwe tajiri umeziandika mwenyewe alafu umeshindwa kuzitumia ukapata Hela ya kuprint je msomaji ataweza kweli kupata Hela kwa njia zako🫢🫢
 
Sasa si utumie hizo mbinu kupata pesa ukisha tajirika ndo uje uuze kitabu unakwama wapi mkuu utajiri umeulalia?.
 
what is your success story?
What you need is motivation

Human motivation theory by David McClelland posits that individuals are primarily motivated by the three needs: achievement, affiliation and power
However some motivations are out dated and also business will depend on your entry age

Some Success stories during third tenure in Tanzania were not applicable in fith tenure

Swali la mfano je kama ulifanikiwa sana Wakati wa Rais Mkapa je ungeli weza kufanikiwa wakati wa Magufuri

Yaani umesimuliwa mafanikio aliyo yapata awamu ya 3, thubutu hayawezi kutumika pengine awamu ya 5

Cha ajabu waliofanikiwa kwa kuuza madawa ya kulevya huwa hawayasemi nyuma ya mikamera unashangaa wamekatwa Dubai
 
Umeshindwa kuwa tajiri Kwa kusoma notes zako hizo unafikiri itamtasaidia nani?
 
Back
Top Bottom