Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

Yani huna pesa, alafu unaniandikia migazeti yako mirefu namna ya kuwa tajiri ? Tumia hizo mbinu utajirike mkuu !!

Hivi mirembe ni dodoma ama morogoro?
 
Kwanza nyie watu mnao andika kitabu cha kuwa tajiri ni kudanganya watu tu!

Mtu ana andika kitatabu cha kuwa tajiri alafu na yey anakiuza 😂. Wew tu mfano mzuri umekosa ela ya kuprint

Nyie hamna tofauti na wale wa tuma kweny namba hii jina litakuja******
Yah mnywa pombe anaweza kuwa mshauri mzuri kwa wale wanaotaka kuacha pombe .
 
Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.

Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.

Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Tumia njia ulizoandika kwenye hicho kitabu, kwani wewe hutaki utajiri?
 
Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.

Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.

Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Wako watu watakushangaa lakini wanashindwa kujua kitu kimoja sio kila mfumo unafanya kazi kila mahali
 
Ndio inawezekana akawa nayo.
Sasa hayo nimawazo tu!
Lakin mtu uwezi fundishwa kuwa tajiri.

Mfano labda unaota au unatamani maisha mazuri kuwa na ela nyingi

Point zao ni👇
1.time management
2.hard work
3.trust god
4.team work etc
 
Sasa hayo nimawazo tu!
Lakin mtu uwezi fundishwa kuwa tajiri.

Mfano labda unaota au unatamani maisha mazuri kuwa na ela nyingi

Point zao ni👇
1.time management
2.hard work
3.trust god
4.team work etc
Je points zao ikiwa ni iba

Au uza bangi?
 
Tumia maarifa uliyoandika kukusanya pesa
 
Back
Top Bottom