Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Weka lipa namba, nikutie mchuzi.Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Nia yako ni kutaka tukutukane matusi yote kwenye kamusi. Hatutafanya hivyo ila tumeishia kucheka sana.Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Mkuu umefikisha ujumbe kwa akili sana.Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Sahihi sana 🙌Mkuu umefikisha ujumbe kwa akili sana.
Hivi ndivyo mtaani watu wanapigwa.
Mtu anakwambia ana uwezo wa kukuunganisha Freemason ili na wewe uwe tajiri kama yeye lakini anakudai Ada/ fee
Unajiuliza sasa huyu Tajiri wa Freemason inakuwaje hana hela ananitaka tena mimi maskini nilipe Chaji?
Mwingine anakwambia hili Lori langu naliuza nina shida ya milioni tano.
Anakushawishi kwa kuseam Lori hili linabeba mchanga, mawe, kokoto na mizigo mbali mbali. Kwa Wiki linaingiza Laki nane ya faida. Kichukue.
Mali inayoweza kukuingizia laki nane kwa wiki unauzaje kwa ajili ya shida ya milioni tano? Au hata milioni 10? Why? Tafakari chukua hatua.
Ulishakutana na Muuza Kilikuu anakuwashi eti inaingiza sana hela ila anaiuza kwa sababu ana shida ya milioni 3 ya haraka harakaSahihi sana 🙌
Dr Mwaka Mtalaam wa Mapenzi aliyekimbiwa na mkeIMganga wa kienyeji bingwa wa dawa za mapenzi analia kakimbiwa na mkewe 😀😀