Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Kumbe kitabu chako hakiwezi kutajirisha watuHabari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Ahahahahaa..!! Maneno ya akina insipireshooo spikaaaziii..!! Haya ndo yale ya nilianza na punje moja kwenye biashara ya mchele na sasa namiliki magunia laki mbili ya mchele..!!Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Motivation speaker 🔊 baadae anakamatwa Dubai kwa Madawa ya kulevyaAhahahahaa..!! Maneno ya akina insipireshooo spikaaaziii..!! Haya ndo yale ya nilianza na punje moja kwenye biashara ya mchele na sasa namiliki magunia laki mbili ya mchele..!!
Uzi tayariHabari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Mimi naandika kitabu cha ujasiriamali kuna mdau aliniuliza what is your success stories yaani je una hadithi za mafanikio Yako nika mshangaa japokuwa Nina majibu sahihi kwasasaSina mbavu kabisa kabisa 😂😅😆😹🤣😸🤭
Yaan hapa dunian mtu akifa kwa stress basi kajitakia tu kuna vituko vingi sanaHabari zenu wakuu.