Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

Kwanza nyie watu mnao andika kitabu cha kuwa tajiri ni kudanganya watu tu!

Mtu ana andika kitatabu cha kuwa tajiri alafu na yey anakiuza πŸ˜‚. Wew tu mfano mzuri umekosa ela ya kuprint

Nyie hamna tofauti na wale wa tuma kweny namba hii jina litakuja******
 
N
Yaan hapa dunian mtu akifa kwa stress basi kajitakia tu kuna vituko vingi sana
NAhisi kuvunjika mbavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Wew yaan njia za kupata pesa kirahisi uwe tajiri umeziandika mwenyewe alafu umeshindwa kuzitumia ukapata Hela ya kuprint je msomaji ataweza kweli kupata Hela kwa njia zako🫒🫒
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sasa si utumie hizo mbinu kupata pesa ukisha tajirika ndo uje uuze kitabu unakwama wapi mkuu utajiri umeulalia?.
 
what is your success story?
What you need is motivation

Human motivation theory by David McClelland posits that individuals are primarily motivated by the three needs: achievement, affiliation and power
However some motivations are out dated and also business will depend on your entry age

Some Success stories during third tenure in Tanzania were not applicable in fith tenure

Swali la mfano je kama ulifanikiwa sana Wakati wa Rais Mkapa je ungeli weza kufanikiwa wakati wa Magufuri

Yaani umesimuliwa mafanikio aliyo yapata awamu ya 3, thubutu hayawezi kutumika pengine awamu ya 5

Cha ajabu waliofanikiwa kwa kuuza madawa ya kulevya huwa hawayasemi nyuma ya mikamera unashangaa wamekatwa Dubai
 
Umeshindwa kuwa tajiri Kwa kusoma notes zako hizo unafikiri itamtasaidia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…