kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Yah mnywa pombe anaweza kuwa mshauri mzuri kwa wale wanaotaka kuacha pombe .Kwanza nyie watu mnao andika kitabu cha kuwa tajiri ni kudanganya watu tu!
Mtu ana andika kitatabu cha kuwa tajiri alafu na yey anakiuza π. Wew tu mfano mzuri umekosa ela ya kuprint
Nyie hamna tofauti na wale wa tuma kweny namba hii jina litakuja******
Kwanza hawezi kupata mfadhiriUmeshindwa kuwa tajiri Kwa kusoma notes zako hizo unafikiri itamtasaidia nani?
Ni karibu na morogoroYani huna pesa, alafu unaniandikia migazeti yako mirefu namna ya kuwa tajiri ? Tumia hizo mbinu utajirike mkuu !!
Hivi mirembe ni dodoma ama morogoro?
ππTajiri unazingua ππππ
Chief,Mleta mada alijua yuko facebook, Kulaleki kwa mlivyomkaribisha harudi tena huyu.
Kwa hiyo maskini anamawazo bora sana ya kusaidia mtu kuwa tajiriYah mnywa pombe anaweza kuwa mshauri mzuri kwa wale wanaotaka kuacha pombe .
Ndio inawezekana akawa nayo.Kwa hiyo maskini anamawazo bora sana ya kusaidia mtu kuwa tajiri
Tumia njia ulizoandika kwenye hicho kitabu, kwani wewe hutaki utajiri?Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha βNamna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesiβ.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Wako watu watakushangaa lakini wanashindwa kujua kitu kimoja sio kila mfumo unafanya kazi kila mahaliHabari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha βNamna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesiβ.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya promotion ya kitabu yenyewe.
Nifanyeje ili sasa kitabu kiingie mtaani kibadilishe maisha ya watu?
Sasa hayo nimawazo tu!Ndio inawezekana akawa nayo.
Je points zao ikiwa ni ibaSasa hayo nimawazo tu!
Lakin mtu uwezi fundishwa kuwa tajiri.
Mfano labda unaota au unatamani maisha mazuri kuwa na ela nyingi
Point zao niπ
1.time management
2.hard work
3.trust god
4.team work etc
Kwa hizo point sidhani kama unaweza publish kitabu.Je points zao ikiwa ni iba
Au uza bangi?
Na ndio points za kupiga vibunda bwashee π€£ ila utaweza?Kwa hizo point sidhani kama unaweza publish kitabu.
Sema ikiwa hivyo ni sawa
πππMkuu umekosea sehemu ndogo sana. Ungekuwa Tajiri kwanza, half ndiyo uandike kitabu
Ndio nazipiga hapa mm sitak ushauri kweny hiliNa ndio points za kupiga vibunda bwashee π€£ ila utaweza?
NakaziaTumia hizo mbinu ulizotuandikia kupiga pesa upate pesa ya printing na promo π€£π€Έ