Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

Sasa we si ndo tapeli mwenyew?
Sheria inabd ikuhukumu kwenda jera miaka 10 na viboko vya kutosha kulingana na kurasa za hicho kitabu chako
 

Asilaumiwe binti kiziwi kwa kushindwa kufahamu wananchi hawamtaki
 
Weka lipa namba, nikutie mchuzi.
 
Nia yako ni kutaka tukutukane matusi yote kwenye kamusi. Hatutafanya hivyo ila tumeishia kucheka sana.
 
Mkuu umefikisha ujumbe kwa akili sana.

Hivi ndivyo mtaani watu wanapigwa.

Mtu anakwambia ana uwezo wa kukuunganisha Freemason ili na wewe uwe tajiri kama yeye lakini anakudai Ada/ fee

Unajiuliza sasa huyu Tajiri wa Freemason inakuwaje hana hela ananitaka tena mimi maskini nilipe Chaji?

Mwingine anakwambia hili Lori langu naliuza nina shida ya milioni tano.

Anakushawishi kwa kuseam Lori hili linabeba mchanga, mawe, kokoto na mizigo mbali mbali. Kwa Wiki linaingiza Laki nane ya faida. Kichukue.

Mali inayoweza kukuingizia laki nane kwa wiki unauzaje kwa ajili ya shida ya milioni tano? Au hata milioni 10? Why? Tafakari chukua hatua.
 
IMganga wa kienyeji bingwa wa dawa za mapenzi analia kakimbiwa na mkewe πŸ˜€πŸ˜€
 
Nikisoma huu uzi samahani wadau, yaani nacheka kama kichaa aise....
πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ΉπŸ€£πŸ­
 
Sahihi sana πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…