ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate ulimwenguni.
Vita hizi ni taarifa ya ujio wa Yesu. Na pia utakuwa mwisho wa dunia.
Mwisho wa dunia utaambatana na matumizi ya nuclear, kusogezwa kwa jua karibu, maji kugeuzwa damu.
Hatari kubwa IPO mbele yako. Usiwadharau Wahubiri Wanaohubili kwenye mabus, mitaani, Mitandaoni. Utawakumbuka, utakuwa Umechelewa
Please ndugu mtafute YESU