nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
Mkiri Yesu kuwa Bwana na Muokozi wako ndugu, dunia inaelekea mwisho hizi ndio dalili zakeHakuna mwisho wa dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiri Yesu kuwa Bwana na Muokozi wako ndugu, dunia inaelekea mwisho hizi ndio dalili zakeHakuna mwisho wa dunia
Kwahio boss utazaliwa mende wa chooni, stoo au jikoni?Hio vita ya tatu Sio mwisho wa Dunia bali ni muendelezo tuu madhila mengine mapya kwa mwanadamu, kwani ukweli ni kwamba kwenye hii dunia ndio Jehanamu yenyewee yaani wote ambao tumo humu Duniani kuna kosa kubwa tulifanya mbinguni tukatimuliwa na tukatupiwa huku duniani, na wala usije zani ukifa ndo utaenda mbinguni! La hasha bali utazaliwa tena kwenye hihi dunia kama kiumbe kingine labda mendee. Alafu kuhusu mendee endapo Nyukilia zikitumika basi wanadamu wengi watakao kufa watazaliwa kama mende. Kwa sababu utafiti unaonyesha mende hadhuriki chochotee na sumu na mionzi ya nyukilia.
Kama kigezo chako cha kusema dunia inaelekea mwishoni ni hizi vita mbili zinazoendelea, nachelea kusema wewe huijui historia ya dunia yetu.Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate ulimwenguni.
Vita hizi ni taarifa ya ujio wa Yesu. Na pia utakuwa mwisho wa dunia.
Mwisho wa dunia utaambatana na matumizi ya nuclear, kusogezwa kwa jua karibu, maji kugeuzwa damu.
Hatari kubwa IPO mbele yako. Usiwadharau Wahubiri Wanaohubili kwenye mabus, mitaani, Mitandaoni. Utawakumbuka, utakuwa Umechelewa
Please ndugu mtafute YESU
Acha uoga mkuu. Hakuna kitu chochote cha ajabu kinachoendelea kwa sasa ambacho hakijawahi kutokea. Na kama dunia haikuisha kipindi chote cha nyuma, kwanini ije iishe sasa?Mungu hawezi vumilia yanayoendelea kwa Sasa laZima tu ule mwisho upo karibu mno.
Angalia mfumuko wa AI, haki za mashoga, mabadiliko hali ya hewa, Vita hizi mbaya zaidi hakuna mnyonge wote wababe.
Wakula matango pori kuleni.Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate ulimwenguni.
Vita hizi ni taarifa ya ujio wa Yesu. Na pia utakuwa mwisho wa dunia.
Mwisho wa dunia utaambatana na matumizi ya nuclear, kusogezwa kwa jua karibu, maji kugeuzwa damu.
Hatari kubwa IPO mbele yako. Usiwadharau Wahubiri Wanaohubili kwenye mabus, mitaani, Mitandaoni. Utawakumbuka, utakuwa Umechelewa
Please ndugu mtafute YESU
Hata kipindi Cha nuhu walikuwa wabishi Kama wewe. Mi sishangai Mr.Acha uoga mkuu. Hakuna kitu chochote cha ajabu kinachoendelea kwa sasa ambacho hakijawahi kutokea. Na kama dunia haikuisha kipindi chote cha nyuma, kwanini ije iishe sasa?
Mungu ajua nia za mioyo yaowaliozaliwa kabla ya Yesu waliendaje huko mbinguni
Dunia Haina mwisho,hizo sio vita za kwanza ni swala la Factor resetting tuu.Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate ulimwenguni.
Vita hizi ni taarifa ya ujio wa Yesu. Na pia utakuwa mwisho wa dunia.
Mwisho wa dunia utaambatana na matumizi ya nuclear, kusogezwa kwa jua karibu, maji kugeuzwa damu.
Hatari kubwa IPO mbele yako. Usiwadharau Wahubiri Wanaohubili kwenye mabus, mitaani, Mitandaoni. Utawakumbuka, utakuwa Umechelewa
Please ndugu mtafute YESU
Ndagha mshana ndagha fijho 😀😀🤝Hakuna mwisho wa dunia
Afadhali uwaambie vijana wako , Mwisho wa dunia unatoka wapi tenaHakuna mwisho wa dunia
Kama Ni hivyo na tunaona wasio haki wananguvu katika dunia, kwanini wasihalalishe uovu kuwa na uhuru ili maslahi yao yapatikane kwa amani?Afadhali uwaambie vijana wako , Mwisho wa dunia unatoka wapi tena
Watu wanapigana vita Kwa sababu ya kulinda maslahi yao Sera zao ardhi zao legacy zao na kwaajili ya kuendelea kumaintain to the throne sababu kuu ya vita zozote duniani ni hizo , Ipo hivyo karne na Karne , na Hiyo Hali haitokuja kuisha kwa sababu hata ukiwa mwema lazima utachukiwa na wale wasiopenda mema (Haki) lazima watamfanya mpango wakutoe ktk madaraka ili wao waweze kufanya mambo yao yaani duniani kila kitu opportunity so ikitokea wewe ukawa una simamia haki it means utakuwa unakwenda kuziba ulaji wa wauzaji wa madawa ya kulevya wauzaji wa silaha za maangamizi wafanya biashara wa viungo vya binaadamu etc so wale wanaofanya hizo biashara hawawezi kukubali uwaharibie ugali wao so hapo lazima vita iibuke
Iko hivyo pia kama ukiwa kiongozi Halafu ni mtenda Maovu wale ambao ni wabigania Haki lazima watakuchoka na wao watafanya mpango wa kukuondoa madarakani.. so dunia ndio iko hivyo watu lazima wapigane vita japo kuwa hatupendi ukweli ni kwamba hatuwezi kuishinda nature mfumo Wa maisha unataka viumbe lazima wauwane ili waweze ku- survive samaki mkubwa ana Kula samaki mdogo --- na Simba anakula sungura ama nyati
Kwani hauoni huko jinsi ushoga usagaji na jamii ya watu ambao wanabadili jinsia ikipewa chapuo na kuonekana kuwa ni Jambo la kawaida au Hilo haujaliona mkuu??Kama Ni hivyo na tunaona wasio haki wananguvu katika dunia, kwanini wasihalalishe uovu kuwa na uhuru ili maslahi yao yapatikane kwa amani?