The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Mifumo inayo endesha Dunia ambayo imeasisiwa na wenye kuendesha Sera za dunia haiamini ktk concept ya Mungu wala dini zozote ila ni Hao hao pia ndio walio form dini ili waweze kumtawala binaadamu Kwa wepesi , Dini huwa inatumika na wanasiasa popote pale Duniani as biological weapons kwaajili ya kuweza kuwa monitor Binaadamu Kwa Urahisi ,Ok nmekuelewa vizuri mtaalamu.
Kama sijakosea, lengo lako lakutomuamini Mungu nafkiri nikutaka jamii/dunia kubadili mtazamo wao I'll ije iwe sheria yakutokuwa na Mungu duniani Kama mashoga wapiganiavyo haki zao leo, vizuri.
Lengo kuu la kupigia chapuo ushoga, Ni kuondoa unyanyapaa ili jamii yao iishi kwa uhuru na amani. Wakati hasara zake kisayansi zinajulikana na kidini pia.
Lakini madhara makubwa zaidi Ni kwamba inadhaniwa kuja kuhatarisha uwepo wa binadamu hapo badae katika uso wa dunia.
Lengo kuu la dini Ni maisha ya milele. Ikiwa Ni pamoja na ustaarabu wa maisha kwa mtindo wakuepuka uovu. Ushoga Ni moja ya maovu yanayonyooshewa kidole na dini.
Huku madhara ya wazi ya dini kibinadamu lkn ikiwa Ni ile yakumtegemea Mungu kwa kila jambo na kushindwa kwa maamuzi ya mabadiliko kwahofu yakumkosea japo Ni kwabaadhi ya mambo.
Shusha nondo zako hapa kueleza lengo kuu la ukana Mungu, malengo na matamanio ya maisha baada yakuwa jamii tayari imekuelewa mtazamo wako. Faida zake na hasara pia pasipo kugusa angle ya dini ili nije kuwa mfuasi wako Mr.
They knew it hauwezi kumtawala binaadamu Kwa wepesi bila ya kumtia hofu ya Mungu , so ni issue Tu ya minding game hakuna chochote hakuna kuchomwa Moto wala hakuna pepo ukifa Umekufa unarudi kuwa Natural resources ambazo Ardhi huwa inahitaji everyday ili iweze kujirutubisha ipate Kuhudumia viumbe wengine , Nothing much,