Nimeandika sana kuhusu vita zinazoendelea ulimwenguni kwamba ni roadmap ya mwisho wa dunia

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.

Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.

Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate ulimwenguni.

Vita hizi ni taarifa ya ujio wa Yesu. Na pia utakuwa mwisho wa dunia.

Mwisho wa dunia utaambatana na matumizi ya nuclear, kusogezwa kwa jua karibu, maji kugeuzwa damu.

Hatari kubwa IPO mbele yako. Usiwadharau Wahubiri Wanaohubili kwenye mabus, mitaani, Mitandaoni. Utawakumbuka, utakuwa Umechelewa

Please ndugu mtafute YESU
 
Yesu mwenyewe alishindwa kujitafuta,wakamtandika vitofa hadi kafa
 
Okokeni ndugu za zangu,huendi mbinguni bila Yesu.
Yesu ndiyo nani. Utapeli tu na kuwazuzua na kuwaongezea ujinga watu, mababu zetu walifanywa watumwa kabla ya yesu kuja. Kwanini alipokuja hukuzuia utumwa mpaka wahuni wakamtoa kafara Ili tule tunda kimasihara
 
Hakuna kitu
 
Hakuna mwisho wa dunia
 
Dawa yake ni kumtoa Putin madarakani basi, na mwisho wa dunia utaendelea kusogezwa mbele.
 
Hio vita ya tatu Sio mwisho wa Dunia bali ni muendelezo tuu madhila mengine mapya kwa mwanadamu, kwani ukweli ni kwamba kwenye hii dunia ndio Jehanamu yenyewee yaani wote ambao tumo humu Duniani kuna kosa kubwa tulifanya mbinguni tukatimuliwa na tukatupiwa huku duniani, na wala usije zani ukifa ndo utaenda mbinguni! La hasha bali utazaliwa tena kwenye hihi dunia kama kiumbe kingine labda mendee. Alafu kuhusu mendee endapo Nyukilia zikitumika basi wanadamu wengi watakao kufa watazaliwa kama mende. Kwa sababu utafiti unaonyesha mende hadhuriki chochotee na sumu na mionzi ya nyukilia.
 
acha kudanganya watu,mwisho haupo
 
uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…