Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

Naogopa isije ikawa kama ya wale Bushmen wa South Africa! Jamaa anaendelea kupiga mpunga mrefu wenyewe sijui waliambulia kitu gani? Greenberg anaweza kutuchuuza Hutu!
 
Sio ila Mpiga Mwingi kampaka sana Jiwe hii kitaalam inaitwa ondoka wakuseme.

Halafu pale mwanzoni wakati wanatoka Ikulu aliposema "Peter first take off your tie and Jacket" ilikua na ukakasi fulani.
ukakasi gani?
P
 
Serikali ipunguze matozo ya utalii watakuja kibao filamu haitasaidia kitu
 
Tanzania inauzwa kama vile Kenya iliuzwa kwa wakoloni na beberu mweusi raisi wetu. Hii mambo ya conservancies ni ukoloni mamboleo. Subsaharan Africa kauzwa kwa kusingizia sustainable development, green economy, carbon credits na kadhalika.
 

Movie inaitwa PIRANHA???!

Naitafuta niiangalie mchana siku yaIddi Mosi.
 
Kiongozi ile filamu wameandaliwa wazungu na siyo kina Abunuwasi.

Sisi tuendelee tu kuangalia Etuglu, Ottoman, Rambo, Jack chan, Jet Lee and likes.
 
Movie inaitwa PIRANHA???!

Naitafuta niiangalie mchana siku yaIddi Mosi.
Yah PIRANHA ni samaki ana meno km ya papa.sasa kwa udogo wake na spidi ya kutafuna ndo balaa lilipo.
Na huyu alikua mkubwa kalelewa kiupole wale binadamu walienda huko kula bata tu walimletea utani akamgegeda mmoja, ,badae wale walikua emwlte wakazama majini wamtafute kunbe kule piranha wengine wameona damu wakaja.
Waliliwa watu hapo wako beach km ibiza huko mpk walikoma waliikuja kumuua yule samaki google utaona
 
Movie inaitwa PIRANHA???!

Naitafuta niiangalie mchana siku yaIddi Mosi.
Dstv kwenye channel ya TNT huwa wanaonesha hiyo movie, cheki monthly guidelines yao utaona huwa wanarudiarudia movie zao. Au check ratiba za Mnet 4.
 
Tunasema tunataka watalii waje lakini hatutaki wapige picha miji na majengo yetu wakiwa huku. Akiingia kwenye makumbusho tunataka alipie kupiga picha! Hatujui kuwa moja ya faida ya utalii ni kuweza ku share na jamii yako experience yako kwa kupitia picha na video!

Tunakuwa kama konda wa daladala ambao wanakubembeleza uingie kwenye basi lake lakini ukisha ingia anakugeuza kinyesi. Hii Royal Tour itakuwa bure tu kama hatubadilisha namna tunavyo watendea watalii wanapokuwa nchini mwetu.

Amandla...
 
Bogus kabisa hilo ni wazo lao...wewe ulikuwa wapi kuwaza km wao au kivingine?? Utalii ulikuwepo tangu zama. Wazaramo mna shida sana...kuchallenge kijinga tuuu! Wazo la mwenzio... Sijui mna akili ngapi nyie watu!...mtabaki ivoivo! Na wanenu vimeo hao wasio jua tathmini waandaaji hawajakulenga weye!...ukomege kujipendekeza kwa kazi za watu....hujaipenda pita ivi...
 
huko ulikotembelea USA basi walikuwa ma-illitrate wa kufa mtu yale mateja hasa maskini wa kutupwa...hawakusoma kabisaaa....hii ni jiografia ya drsa la saba zamani sana yaani World Geography!! Please usituambie habari za watu maskini ambao hawakwenda shule!! Unasikia?.....yaani huko USA ulitembelea mazogoroni ndg....halafu ni ushamba kudhani kuwa woooote huko wamesoma. Kwa kuwa tu wa hela. Na mabomu mengi ya Nuc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…