Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Umemjibu vizuri.Na sisi wananchi wakawaida,unatufahamisha,na tunafahamu vizuri sasa.Mwenzio kapewa tapishi hili na mabwanyenye ya nchi jirani, ambayo yalitaka dunia iendelee kuamini kuwa mlima Kilimanjaro upo Kenya na ziwa Nyasa ni la Malawi. Hii film inakwenda kuwaumbua na kuwalaza njaa mabwanyenye wote. Maana dunia itaelewa ukweli kuhusu mmiliki halisi wa mlima Kilimanjaro, ziwa Nyasa nk. Hongera raisi wetu Samia.