Loyalist
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 411
- 894
Kwanza pole kwa msiba,
Pili nakushauri tafuta mahali ukope hata kwa riba kisha ukatoe hio rambirambi mkuu,
Usawa huu hali ilivyo ngumu hivi?! Sidhani kama watakuelewa kaka, jitahidi ukope mahali hata kwariba ukalipe tu,
Hamna namna kaka, pole sana!