Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
- #281
Asante sana ndugu yanguDuh pole sana
Asante sana ndugu yanguDuh pole sana
Siku moja nilichukua CRDB laki mbili wakanipa vibunda viwili vya elfu moja moja,Kila kibunda noti Mia moja lkn Wala haikuonekana Kama nyingi nilitia tu kwenye mfuko wa suruali Wala haikutuna,
Hakika wewe ni mtu mzito sana mkuumimi nimetembea sana na hizi laki 8 hadi milioni kwa wallet.
Hapana mkuu mm ni mtu wa kawaida tu sema tu nimejifunza kuzizoea pesa na kuondoa kabisa wenge la pesa ili siku nikizinyaka nisichachawe.Hakika wewe ni mtu mzito sana mkuu
Okay bro.mm ni mtu wa kawaida tu sema tu nimejifunza kuzizoea pesa na kuondoa kabisa wenge la pesa ili siku nikizinyaka nisichachawe.
Ndio hivyo ndugu yangu. Nimekula hasara kubwa sanaDu laki tatu kwenye wallet,mwanaume?
Sasa tukiwa na nafasi ya kukusaidia tuzidondoshe wapiNinaona kuna baadhi ya watu wanafanya masihara na hii changamoto yangu, ipo siku yatawakuta pia.
Inaweza isiwe katika style hii, lakini katika namna nyingine ya ajabu sana.
Kupitia Halopesa au M-pesa yangu mkuu. Nitashukuru sana.Sasa tukiwa na nafasi ya kukusaidia tuzidondoshe wapi
Pesa zikiwa mpya hazina shida kabisaSiku moja nilichukua CRDB laki mbili wakanipa vibunda viwili vya elfu moja moja,Kila kibunda noti Mia moja lkn Wala haikuonekana Kama nyingi nilitia tu kwenye mfuko wa suruali Wala haikutuna,
sawa bossNilishindwa kueleweka baada ya kunyang'anywa shilingi kumi,kati ya shilingi hamsini Kuna jamaa alinipora shilingi kumi.Hii shilingi kumi ilileta shida sitahasau
Wapi huko mkuu?Kuna jamaa juzijuzi hapa alikuja anakenua meno kuwa kaokota wallet yenye laki tatu.nadhani zinakaa
Poleee.Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwanza poleee..
Ukifanikiwa kutoa hayo maelezo kwa wabongo na wakakuamini bila dot ya shaka...
Utakua nabii asiyejijua
Hata marehemu hawezi kuamini, akisikia hayo maneno atafumbua mdomo,
kwa ufupi hata ungesema umeangusha hio 50k yako tuu hamna atakae amini, sio tu hivyo, hata ambaye hajatoa mchango ni ngumu kuamini.
Mbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi...
Na kwenye msiba watu wasiposhiba, utaona vifungu vifungu vya watu vikikuangalia na kuoneshana kwa misunyo.
Poa mkuuPole mkuu, nitafute tuzungumz vizuriView attachment 1601066
Thanks...Pole sana .
Hapana. Marehemu aliuguzwa kwa hali na mali...Marehemu kama aliugua kisha mkashindwa kuchangia dawa zake