Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Kwani wanaozidai pesa ni kina nani?
Waliochanga ama mchangiwa?
Alafu wakumbuke sio deni bali rambirambi ni kama pole tu unaweza ukaipata ama usiipate
Kikubwa umesema ukweli na Mungu anatambua kama ndio kweli yako songa na maisha yako,na kama huwez kuirudisha ama huna bas inabid wasiwe na chaguo zaidi ya kusamehe
 
Back
Top Bottom