Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,548
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata CCM wenzake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata CCM wenzake?
Hivi mkuu huwa naaribu kule makapuku forum-love?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaa unaanzajee ebhu njoo kule kwanzaHivi mkuu huwa naaribu kule makapuku forum-love?
Utani wangu ni mbaya sana kaka?Hapanaa unaanzajee ebhu njoo kule kwanza
Ila ww naona utani ndo huwez
Hapana naona haupend kutaniwaaUtani wangu ni mbaya sana kaka?
Duh!!Mimi naongoza kwa kutania watu hapa JF,ni vyema nikataniwa sanaHapana naona haupend kutaniwaa
Sawa boss kama hivyo ndivyo unavyonionaAcha usanii umelipia Kodi kufa kufanana mkuu
MhhhDuh!!Mimi naongoza kwa kutania watu hapa JF,ni vyema nikataniwa sana
Daaah wee acha tu mkuu...Hata ingekuwa ni mimi nisingekuelewa bro
Ile quotes sikuilewaaa lakin😂😂😂Duh!!Mimi naongoza kwa kutania watu hapa JF,ni vyema nikataniwa sana
Nimejiingiza katika deni kubwa sana mkuuYaiani kwa usawa huu kweli mgumu hivi upoteze pesa zote hizo.
aiseeIle quotes sikuilewaaa lakin😂😂😂
LolHapana naona haupend kutaniwaa
Hii ni kejeli kubwa sana kwangu mkuu.Marehemu kama aliugua kisha mkashindwa kuchangia dawa zake basi amejichukulia mkwanja wa kutesa na totoz huko mbinguni 😜
Bado nipo ninapambana. Nimepata 40% bado 60%Tafuta hiyo hela kwa namna yoyote.
Mpaka sasa hakuna hata mmoja anayetaka kuniamini. Nipo katika wakati mgumu sana mkuu.Maelezo ya kudondosha hakuna atayeamini.
Asante sana...Poleee.
Hapana mkuu...Ulifanikiwa kuipata pochi yako ?