Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Kikubwa umesema ukweli na Mungu anatambua kama ndio kweli yako songa na maisha yako,na kama huwez kuirudisha ama huna bas inabid wasiwe na chaguo zaidi ya kusamehe
Sawa ndugu yangu. Ninashukuru sana kwa ushauri wako mwanana.
 
Uliangushia baa gani kiongozi au mlikua mnahama hama wambie wana wakuchangie. Maaba sio kwa bear zile😀😀😀😀
 
jaribu mkuu mimi huwa nafanya sana.
Kwa mfano nikitaka kununua kitu cha milioni 2 huwa naenda kwenye ATM natoa milioni 1 natia kwenye wallet natembea mdogo mdogo hadi home naweka kwenye droo halafu kesho yake naenda tena kuchukua milioni 1 natia kwenye wallet narudi home na kuchanganya na zile zingine zinakuwa milioni 2.
Na ninavyotembea huku nimevaa sandals simple wala huwezi kujua kama mfukoni nina hela.
Hii bado sijawahi fanya mkuu...
 
Mbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi...
Na kwenye msiba watu wasiposhiba, utaona vifungu vifungu vya watu vikikuangalia na kuoneshana kwa misunyo.
Mhh, hizi ndio changamoto za dunia mkuu
 
Ingekuwa imemtokea mwenzako jambo hili ungemfikiriaje na kidha ungemsidia vipi!?
Ingekuwa imemtokea mwenzangu jambo hili ningemfikiria na kumsaidia kulingana na "how close someone is to me" kwa maana mtu anaweza kuwa ni ndugu yako lakini hauna imani na matendo yake tangia zamani hivyo hata akisema ukweli vp wewe utahisi kuwa huyu ni msanii tu...
 
Back
Top Bottom