Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
- #361
Mhhh...umemlipia mtu kodi,au umelisha familia fulan leo
Mhhh...umemlipia mtu kodi,au umelisha familia fulan leo
Sawa mkuuumemlipia mtu kodi,au umelisha familia fulan leo wakat mwingine piga goti ushukuru ukilaumu sana utakufuru
Lakini hasara yote kwangusiku ya mtu leo
Okay...Kaka cha msingi omba urudishiwe vitambilisho tu!!
Sawa mkuuWallet na hela hiyo ni faida ya mwokotaji.
Sawa mkuu ninakuleteaLete akaunti namba yako na password nikwambie kitu
😂😂😂Ponapona yako wewe jamaa ni ukifika uwambie uzikwe pamoja na marehemu ukiongea vinginevyo utarudi hapa kusimulia.
Ponapona yako wewe jamaa ni ukifika uwambie uzikwe pamoja na marehemu ukiongea vinginevyo utarudi hapa kusimulia.
Kejeli mbaya sana mkuu wakati wa shida[emoji23] [emoji28] [emoji119] sio poa kabisa
Ha ha ha ha ha ha umetisha sanaKwanza poleee..
Ukifanikiwa kutoa hayo maelezo kwa wabongo na wakakuamini bila dot ya shaka...
Utakua nabii asiyejijua
Hata marehemu hawezi kuamini, akisikia hayo maneno atafumbua mdomo,
kwa ufupi hata ungesema umeangusha hio 50k yako tuu hamna atakae amini, sio tu hivyo, hata ambaye hajatoa mchango ni ngumu kuamini.
Mbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi...
Na kwenye msiba watu wasiposhiba, utaona vifungu vifungu vya watu vikikuangalia na kuoneshana kwa misunyo.
Niliacha kufanya betting mwaka 2018Hiyo 50000 tafuta odds 5 ubet
Chuo kikuu DarWapi huko mkuu?
Sawa mkuuChuo kikuu Dar
MhhhHa ha ha ha ha ha umetisha sana
Sounds funny? Sawa