adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Tusahameane Mkuu.Tukio lako ni zito sana.Ila utalivuka.Pole sanaa kwa kweli...najaribu kuwafikiria hao ndugu zako.Mkuu, kuchangia sio lazima iwe pesa, hata kitendo cha kusema tu "Pole sana Infantry Soldier" huo pia ni mchango tosha mkuu
Kuna wale mimi nilijua tu sikutaka kusema.