Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
- #441
Wanaosema hivyo ni watu wa kuwasamehe bure tu mkuuwanaosema lako 3 haikai kwenye wallet hizo wallet zenu
ni zile za kuhifadhia card tu sio pesa kama lengo la wallet
hapa nilipo nimekunja 480k na wallet nimefunga kifungo
wallet ina business card kila kona,nikisema nipunguze hizi
business card wallet ina uwezo wa kupakia hadi 550k na ikafunga.
300k ya noti za 5000 ndio nyingi ila 300k ya misimbazi wallet
inafunga hata jirani hajui wallet ina nini ndani.