124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,526
Naombea iwe upande ule nisioupendaNdio maisha yalivyo mkuu. Sitapiga kura mwaka huu 2020
Naombea iwe upande ule nisioupendaNdio maisha yalivyo mkuu. Sitapiga kura mwaka huu 2020
[emoji23]Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Hatari sana mkuu. It's very shocking[emoji23]
Hapana Dina ingawa hawa jamaa zangu wananiwazia kuwa nimefanya upuuzi huoWewe umekula 🤣🤣🤣
Duh umeshindwa kuwapanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiwango nilichopokea mpaka sasa nimekifikisha salama mkuu...
Mkuu, ngoja mtu atoe tu kwa kuguswa ndani ya nafsi na moyo wake kwa maana haya mambo kuna leo na kesho. Leo mimi kesho mtu mwingine.Duh umeshindwa kuwapanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka kukupa mbinu kama 10 za kuwambia
Lazima moja wangenasa [emoji23][emoji23][emoji23]Sema ningekuambukiza utapeli wa kimjinimjini
Ova
Upande gani tena huo ndugu yangu?Naombea iwe upande ule nisioupenda
Sawa mkuu nipo ninapambana ninajua kwa kudra zake yeye nitafanikiwa kulipa deni hilo...Fanya mpango tu ulipe hizo hela za watu,
Inabidi ulipe ndan ya muda muafaka, kabla jina la tapeli halijakukaa.Sawa mkuu nipo ninapambana ninajua kwa kudra zake yeye nitafanikiwa kulipa deni hilo...
Ndivyo watu wengi hufanya,siwezi shindilia wallet 300k aseePole sana! Siku nyingine jifunze ukiwa una kibunda kama hiko unachukua kama 50k unaweka kwa wallet hizo nyingine unaweka mfuko wa mbele wa suruali ni salama zaidi hasa kama umevaa jeans.
Hata mimi sirudii tena huu mchezo aisee. Umenitia hasara kubwa sana...Ndivyo watu wengi hufanya,siwezi shindilia wallet 300k asee
Huu ushauri safi sana mkuuwallet yake 50k tu,nyingine inawekwa mfukoni,staki kulia tena mimi...
Mpaka sasa wamegona kunielewa sababu kuu mimi ni rika (age mate) lao hivyo wanaamini fika kuwa hili ni changa la macho.ila kuhusu kueleweka sahau mkuu.
Tena inakaa vizuri sana.Hata 500k inakaa
Sawa kaka mkubwa, huu ushauri wako ni mwema sana mkuu. Asante...Nawasikitikia sana kwa kuwa bado mpo ktk mfumo wa kupokea fedha taslimu, mfumo ambao una changamoto nyingi sana ikiwemo suala ambalo limekusibu. Ktk masuala ya menejimenti ya fedha, watu wengi hupendelea miamala ifanyike kupitia njia ktk njia za kidijikali. Jambo hili hufanyika ili uwepo wa uwazi ktk kufanikisha masuala ya mihamala husika na kumbukumbu zake.
Hivi Hizi hela mnaozoongea Laki 3 ni zipi haziwezi Tosha kwenye wallet????? Me huwa natoa LAKI 4 naweka kwenye wallet na inakaaa vizurii tuuu pamoja na Vitambulishoo ongezaaa na wallet inafunga.Laki 3 itaeneaje kwenye wallet