Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hii inaitwa mbuzi kafia kwa sonara
Sina mkuu.Cha kukushauri uza ile flat screen yako mkuu
Basi kama hutozirudisha,,jiandae kuitwa jina bayaI'll never ever do this mkuu...
Inakaaa. Acha viwaletJamani laki 3 inakaaje kwenye wallet?
Dogo unazingua ujue?😀
Katoe hela kabatini ulikoficha urudishe hela ya msiba.
Pole na msiba, by the way, hela kwanza!
Everyday is Saturday.................................. 😎
Wasamehe bure tu bro.Inakaaa. Acha viwalet
Mpaka sasa tayari ninaitwa jina baya TAPELIBasi kama hutozirudisha,,jiandae kuitwa jina baya
Kama ambavyo wapinzani hamuelewi SGR yetu.hakuna atakayekuelewa
Mkuu kama ni suala la kupewa pole, basi ipokee ya dhati kutoka kwa wana JF. Lakini hakikisha kuwa pesa ya itokanayo na michango ya wadau unaiwakilisha ktk ukamilifu wake wote.Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Wee acha tu mkuu. Ninapitia wakati mgumu sana this time around.Hii inaitwa mbuzi kafia kwa sonara
Sawa mkuu kama ndio unavyowazaUtakua eangusha pesa yako sio ya rambi rambi!...
Vumilia tu mkuu,,lipo jina baya zaidi utaitwa,,ni suala la muda tuMpaka sasa tayari ninaitwa jina baya TAPELI
Sawa mkuuVumilia tu mkuu,,lipo jina baya zaidi utaitwa,,ni suala la muda tu
Asante mkuu...Mkuu kama ni suala la kupewa pole, basi ipokee ya dhati kutoka kwa wana JF.
Kiwango nilichopokea mpaka sasa nimekifikisha salama mkuu...Lakini hakikisha kuwa pesa ya itokanayo na michango ya wadau unaiwakilisha ktk ukamilifu wake wote.
Pole sana kwa hasara uliyoipata.Kiwango nilichopokea mpaka sasa nimekifikisha salama mkuu...
Thanks once againPole sana kwa hasara uliyoipata.
Hata 500k inakaaMkuu, 300K inakaa vizuri sana katika wallet kama pesa sio chakavu...