Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
- #221
Never everHakuna jinsi mkuu..
Tengeneza mashahidi wa kununuwa hata 2 au 3..
Never everHakuna jinsi mkuu..
Tengeneza mashahidi wa kununuwa hata 2 au 3..
Unfortunately enough, sijui hata hii Sinza bar ipo wapi...Ulienda sinza baa na hela ya rambirambi eeh,
Sawa sawa mkuu. Nitazilipa kwa kudra zake yeye...Mkuu huna ujanja zaidi ya kulipa fedha za watu. Ila unalo jambo la kujifunza, nalo si lingine zaidi ya kuepuka kupokea fedha taslimu za michango ya watu.
Thanks once again brother. Safi sana mkuu.Unapaswa kubadilika ili nawe uwe sehemu muhimu ya matumizi ya uhakika ya teknolojia ya sasa yenye uwezo mkubwa wa kuthibiti miamala ya fedha inayotumika.
Hata mimi nimewashangaa sana mkuu...Hivi Hizi hela mnaozoongea Laki 3 ni zipi haziwezi Tosha kwenye wallet?????
Hao jamaa wabishi sana na inaonekana wanatumia wallets za vijana wa secondary...Me huwa natoa LAKI 4 naweka kwenye wallet na inakaaa vizurii tuuu pamoja na Vitambulishoo ongezaaa na wallet inafunga.
Daaah inauma sana mkuuWakati wewe unalalamika na kusononeka hivyo, kuna mtu anafurahi na kumshukuru Mungu.
God is good, all the time.
Kiendacho kwa mganga hakirudi,kausha kisela kindava.Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Asante sana mkuu...Pole sana kamanda
Asante kwa ushauri mzuri brother.ila km walipendekeza wewe uwe mweka hazina ina maana wanakuamini....waambie tu.
Sawa bro...Kiendacho kwa mganga hakirudi,
Poa mkuu.kausha kisela kindava.
Tayari nimeoneshwa rangi kama zote. It is tough indeed...!!!!hakuna rangi hutaacha kuoneshwa na wenye hela yao
Sawa mkuuWeka namba tuchangie hata buku buku, undugu wakati wa shida.
Poa mkuu...Umepewa hela za rambi rambi unaetakiwa kumwambia kuwa umepoteza hela
si hao waliokupa,maana wao wameshatoa (si zao tena) maana hata ukiwambia
hawawezi kukudai kwasababu walishazitoa kwahyo hazipo katika hesabu zao tena.
Poa poa chief...Ongea na wapokeaji rambi rambi (wambie ukweli) umepoteza michango kiasi flani
ambacho ulitakiwa kuwafikishia,kisha wambie Hela utaileta na itasaidia chochote kitu
kwa wakati huo utakaoleta,hawawezi kataa wala kulalamika na yeyote ataelalamika
au kukuona tapeli atakua hana akili kwasababu wewe ni (middle man) ulikua na uwezo
ukanyamaza kimya kabisa usitoe taarifa upande wa wachangaji wala upande wa wapokeaji
na hana yeyote ambae angejua hela haijafika au imechangwa.
Ushauri mzuri sana huu mkuu. Thanks once again.Kitendo cha kusema tu
tukio lililo kupata tayari haupo ktk kundi la Tapeli au mjanja mjanja ila wewe ni Mwema na
usie na mbinu ovu hivyo Mungu akubariki akufungulie njia yakupata nyingine ukalipe deni lako.
mjanja mjanja kwenye mambo yako ?Mzee wa matukio kivipi mkuu?