mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
KabisaNilimpa hela aliyoiomba mwishoni ila nilitaka ajifunze. Usiombe pesa omba shughuli itakayokupa pesa. Hiyo ndio kanuni kuu ya maisha. Huyo dogo kuna siku alikuwa anabishana na watu kwenye kibanda umiza kulikuwa na mechi ya Man U katika hoja zake akasema unatumia nguvu sana kuongea mie natumia akili. So siku ile nilitaka ajue kuwa sometimes mwanaume unaishi kwa kutumia nguvu, akili au nguvu na akili kwa pamoja
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app