Unapenda tungi kama mie😋Ingekuwa mimi hapo wasingenielewaaa kbsa
Wangejua nishawapigaaaa....au hela nimepeleka
Kwenye mtungi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
...kopa, pigaUa, upate 250,000/- za Watu uwarejeshee Comrade ili kuondoa hadithi...halafu mshukuru Mungu kwa Yote!Nimewaambia wanakataa kunielewa alafu ni umri kama wangu. Wamekomaa wanataka pesa zao aisee sio poa kabisa mkuu.
Ningekua dar ningechukua hiyo kazi ya kuchimba shimoUna akili sana na nimeliona hilo ndio maana nikahadithia hicho kisa ili wengine waone na kujifunza kitu
Kukaa inakaa sema ukitembea utaonekana nyuma tako moja ni kubwa kuliko mwenzie,na hata kukaa huwezi kukaa comfortable!!Hao wanaosema laki tatu haikai kwenye wallet inawezekana hata wallet hawana.
Kwanza poleee..
Ukifanikiwa kutoa hayo maelezo kwa wabongo na wakakuamini bila dot ya shaka...
Utakua nabii hujijui tuu..
Hata marehemu akisikia hayo maneno atafumbua mdomo,
kwa ufupi hata ungesema umeangusha hio 50k yako tuu hamna atakae amini, sio tu hivyo, hata ambaye hajatoa mchango ni ngumu kuamini.
halafu mbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi.
Nyie mpaka mimi naonekana chizi kwa kucheka🤣🤣Laki tatu unaweka kwa Wallet!? Hiyo ni wallet au handbag!?
Hahaha mkuu inaelekea kwako hakunaga cha bureNgoja nikueleze kisa kimoja. Kuna siku moja alikuja kijana mmoja mwanafunzi wa chuo kikuu (jina kapuni) akija kuomba msaada wa nauli (kipindi vyuo vimefungwa kwa COVID - 19) na alikuwa anaenda kwao Bukoba. Kijana namjua kwani alikuwa amepanga jirani na kwangu na tulikuwa tunaonana juu kwa juu kwenye sehemu za starehe za kitaani na hata kwenye vibanda vya mpira ambako sometimes naenda ili kupata fleva za ushabiki wa kitaa. Alikuwa mjuaji sana kutokana na elimu yake (nilipenda hii confidence yake)
Sasa kuna siku akaja kugonga geti nyumbani (alikuwa hajui kama ni kwangu) na nadhani kwa elimu yake na ujanja ujanja wake wa kitaa alijua akija na sound zake za Covid 19 na chuo kufungwa ghafla na kutokana na aina ya nyumba basi ataonewa huruma na kupata nauli kirahisi.
Dogo akakaribishwa akaomba kuonana na mwenye nyumba nikaitwa kumsikiliza, alivyotoka na kuniona mimi alishtuka lakini easy akanieleza shida yake nikamwelewa. Alikuwa anataka kama elfu 80 hivi ili kufika mpaka kijijini kwao.
Nilichomwambia kulikuwa na kazi home ya kupandisha mchanga ulishuswa na fuso (mende) lilishindwa kuingia kwenye geti kutokana na ukubwa wake so ulikuwa mchanga mwingi huko nje ya geti kama (trip 3 za mende). So nikamuuliza dogo umepitia jeshini akasema ndio, nikaona huyu atanifaa nikamwambia nakuuzia hiyo kazi kwa 180,000/= ifanye ila wewe ndio uwe mtendaji mkuu na utatafuta vijana wa kufanya nao kazi. Hiyo kazi kwa ukubwa wake ni kama 200,000/= ilitakiwa na mie nilipanga nimpe hiyo kilo 2 ila nilitaka kumpima imani.
Dogo akaja na style ya kuleta wapiga kazi yeye awasimamie but wale jamaa walikuwa wakiona ile kazi na bei yake (maana alikuwa anatoa kwenye makubaliona 80,000/= ya nauli ya kwenda kwao) wanaikataa kwamba haina maslai. Dogo alihangaika kama siku 5 hivi kazi haijaanza na kila siku anakuja na sound kuwa ataifanya ile kazi na mimi nilikuwa nahofia mvua so nikawa namkazia kama hawezi niite vijana.
Mwisho to cut the story short dogo aliifanya ile kazi na vijana wengine wawili ila wote waliipiga asubuhi mpk jioni ndio kwa siku mbili nikawalipa 180,000/= na on top of that nikampa 80,000/= ya nauli aliyoniomba yeye kama yeye. Nilichomwambia ni kwamba kuna funzo kubwa sana nimekupa kwenye kufanya hii kazi lichukue na uishi nalo maisha yako yote hata ukija kupata madaraka au utajiri.
Dogo aliporudi vyuo vilipofunguliwa alikuja na kiroba cha maharage kama zawadi kutoka kwao na mpaka sasa amekuwa kama ndugu yangu
Nimeendika haya kwa kuwa kuna kitu umekiona cha ndani sana na nilitaka kumfanyia pia mleta mada kama angekuwa serious
Sehemu ya maisha yngu hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda tungi kama mie[emoji39]
Asante sana mkuuPole sana mkuu
Wote mlifika?Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Mkuu, ngoja tuwasamehe bure tu hawa jamaa zetu wanaomiliki wallets za kitoto.Wallet I nakaa mpaka milion bwana Hawa vp
Doooh, mzee baba hawakukuweka kikao cha ukoo kweli?Mm Nna Tukio kama Hilo lako Sema mm nilifanyaga
Kwli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwanini unasema hivi mkuu?Acha ungese
Safi SanaSehemu ya maisha yngu hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Well said, ila kazi ya kiume hiyoNingekua dar ningechukua hiyo kazi ya kuchimba shimo
Kazi anazozitaka mtu hazimsaidii kama hajazipata na wala kazi anazofanya mtu hazina umaana kama hazimpi mahitaji anayotaka
Nilimpa hela aliyoiomba mwishoni ila nilitaka ajifunze. Usiombe pesa omba shughuli itakayokupa pesa. Hiyo ndio kanuni kuu ya maisha. Huyo dogo kuna siku alikuwa anabishana na watu kwenye kibanda umiza kulikuwa na mechi ya Man U katika hoja zake akasema unatumia nguvu sana kuongea mie natumia akili. So siku ile nilitaka ajue kuwa sometimes mwanaume unaishi kwa kutumia nguvu, akili au nguvu na akili kwa pamojaHahaha mkuu inaelekea kwako hakunaga cha bure
Ila Safi sana..........
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Pole mkuu umeangusha au umeibiwaWakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Ilikuwa ya mchango wa harusi,bw harusi nlikuwa namdai sasa nlipoletewa tu nkaona hapo hapo nijiongeze nlipata ya kuongezea NauliDoooh, mzee baba hawakukuweka kikao cha ukoo kweli?