Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

...kopa, pigaUa, upate 250,000/- za Watu uwarejeshee Comrade ili kuondoa hadithi...halafu mshukuru Mungu kwa Yote!
Kuna uwezekano kwamba aliyeziokota mama yake anaumwa vibaya na hakuwa na hela ya kumpatia matibabu...
Sawa...
 
basi Mungu Mkubwa akaona kuwa kwa sababu ameishamalizana na roho ya ndugu yenu na zilizobaki ni mbwembwe tu za kuzika mwili akaona amsaidie huyu ambaye anapambania Uhai!
Shukuru Mungu tu Mkuu kwa Yote
emoji120.png
Amen
 
Yuko bwana mmoja humu Hapo zamani alijulikana sana kwa kula rambirambi za watu; sijui kapotelea wapi kwani alikuwa zamani anaishi U.K. !!!!

Hautaeleweka jitahidi ukope urudishe hela ya watu!!!
Sawa mkuu
 
pole sana mkuu, mimi iliwahi nikuta 2016, nilipoteza million 3.5 pesa za jumuia na wakati huo nilikua na wakati mgum wa marejesho ya mkopo, nilitapa tapa sana bt nilijichanga huku na kule na hatmae nikakamilisha, tangu wakati huo sitaki kutunza hata mia mbovu pesa za jumuia maana matokeo yake ni lawama na majuto.

wewe hukupaswa kuwaambia kwanza, ulipaswa kujichanga kila kona uijuayo then ukawasilisha.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom