Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Inategemeana na mahusiano yake au tabia yake aliyonayo,( baina yake na wanaomzunguka)

Mfano kwa historia au machapisho ya hapa jf, unaweza ukaenda kwa brother @mshanajr ukakuta amefuga paka weusi na kuna vibuyu vyenye nyuzi nyekundu , c unaishia kusema anaandaa zana za usiku?
Sawa mkuu...
 
Siku nyingine jifunze ukiwa una kibunda kama hiko unachukua kama 50k unaweka kwa wallet hizo nyingine unaweka mfuko wa mbele wa suruali ni salama zaidi hasa kama umevaa jeans.
Sawa mkuu nitafanya hivi next time
 
Back
Top Bottom