Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi huku mitaani.

Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=

Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
ndo ujue kwamba pesa ya rambirambi haiwekwi nyuma bro....
 
Waiter hapa kwani nadaiwa? Zile bia ishirini zote nimelipa na wajikoni? Nako sidaiwi hapo sawa! Aya tuanze bill nyingine ya moto
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
emoji481.png
Boss
 
Infantry soldier.
Kwa mtazamo wangu, Hawezi kuwa msanii kama ulivyosema.
kwa namna tu ,anavyo andika Thread zake ,ni mtu makini, anaye soma Sana vitabu ,Hoja za mtu tu hutosha kutambua aiba yake.
Asante kwa kuniamini mkuu. Ninakaribisha pia ukosoaji utakaonijenga (Constructive Criticisms)
 
Back
Top Bottom