Wakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aMkkliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?
Ninapokea mchango wa aina yoyote ile hata kama ni pole tu inatosha sana mkuu.KWA HIYO MKUU UNATAHIJI MCHANGO WA PESA AU ?
Mkuu hatutembei na cash mifukoni, mambo ya kizamani, ni online, CARDS na simu..Mpaka umri huo hujawahi kutembea na 300k kwenye wallet?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kunichekesha alafu unashindwa kuamini kama kuna mtu kapoteza?
Tatizo wabongo wasanii ndio maana mtu akipata tatizo tunaanza kufikiria kwenye upande wa usanii kwanza
Sina swagger hizo mkuu. Maisha ya kisanii won't help me a thing.Jamaa anaomba mnunue vitabu vyake indirectly.
Laiti kama ningekuwa nimetamka maneno kama haya kwa moja ya hao ndugu zangu, hakika ningekuwa katika wakati mgumu sana zaidi ya huu nilionao kwa sasa.Halafu ukute siku kadhaa zilizopita kuna mwana kikundi ulimweleza una mpango wa kukopa hela pahala ukamfungulie wife biashara na bado hujafanikiwa![emoji848]
Next time nitakuwa ninafanya hivi.Wallet yangu haikai zaidi na 50k. Tushapitia huko alikopita mdogo wetu Infantry..
Sad indeed...!!!! Hii nukta ina maana gani katika mada hii mkuu?
Asante sana bro...Kwanza pole kwa msiba,
Sawa mkuu, nitajitahidi kufanya hivi...Pili nakushauri tafuta mahali ukope hata kwa riba kisha ukatoe hio rambirambi mkuu,
Mpaka sasa hakuna wa kunielewa mkuu...Usawa huu hali ilivyo ngumu hivi?! Sidhani kama watakuelewa kaka, jitahidi ukope mahali hata kwariba ukalipe tu,
Thanks once again brother.Hamna namna kaka, pole sana!
Kuna jamaa juzijuzi hapa alikuja anakenua meno kuwa kaokota wallet yenye laki tatu.nadhani zinakaaJamani laki 3 inakaaje kwenye wallet?
Dogo unazingua ujue?😀
Katoe hela kabatini ulikoficha urudishe hela ya msiba.
Pole na msiba, by the way, hela kwanza!
Everyday is Saturday.................................. 😎
Siku moja nilichukua CRDB laki mbili wakanipa vibunda viwili vya elfu moja moja,Kila kibunda noti Mia moja lkn Wala haikuonekana Kama nyingi nilitia tu kwenye mfuko wa suruali Wala haikutuna,Mbona hata milioni inakaa kwa wallet.
wewe hujawahi kutumia wallet nini
Duh pole sanaWakuu, mchana huu mida ya saa saba nimeangusha Wallet ikiwa na pesa kiasi cha 300,000/= cash. Daaah, roho imeniuma sana aisee na haya maisha yalivyo magumu siku hizi.
Alafu ni mchango wa rambirambi ya msiba wa ndugu yetu aliyefariki kule Bagamoyo, watu 6 wamechangia ambapo kila mmoja alitoa 50,000/= na mimi nikiwa ni mmoja wao. Nikijiondoa mimi hapo ninabaki na deni la 250,000/=
Huu si ndio mwanzo wa kuonekana tapeli aisee? Wakuu, naombeni msaada wenu wa mawazo nifanyaje ili nirejeshe hizi pesa za watu?