Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Watu tunakunywa bia zetu hapa tunahitaji utulivu kiwango hicho weka namba ya simu hapa tukutumie mambo yasiwe mengi na yasiwe meusi!! Waiter hapa kwani nadaiwa? Zile bia ishirini zote nimelipa na wajikoni? Nako sidaiwi hapo sawa! Aya tuanze bill nyingine ya moto[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Isije kuwa umehonga au umetombe* pesa za rambirambi.
Ilikuwaje pesa ya rambirambi uweke kwenye wallet na uweke mfuko wa nyuma wa suruali.?
Ilitakiwa ungeweka kwenye pumb* kabisa kuepuka wezi na kudondosha.
Marehemu lazima azae na wewe,unapoteza pesa zake?
 
Ponapona yako wewe jamaa ni ukifika uwambie uzikwe pamoja na marehemu ukiongea vinginevyo utarudi hapa kusimulia.
Hahahahaha nacheka kama mazuri ebu tumfariji mwenzetu sio mtuchekeshe

Mkuu pole sana kama una akiba toa tu hakuna namna hakuna atakayekuelewa kabisa
 
We rudisha michango ya watu haraka sana.
Ukiona umeanza kulewa halafu unapoteza na hela acha pombe, usipoacha utakuja poteza kingine kikubwa zaidi halafu ukose wa kumwomba ushauri.
 
Jamani laki 3 inakaaje kwenye wallet?
Dogo unazingua ujue?πŸ˜€

Katoe hela kabatini ulikoficha urudishe hela ya msiba.

Pole na msiba, by the way, hela kwanza!

Everyday is Saturday.................................. 😎
Laki tatu unaweka kwa Wallet!? Hiyo ni wallet au handbag!?
Hivi mko serious kwamba laki 3 haiwezi kukaa kwenye wallet?!
 
mkuu @Infantry Soldier laki3 tu inakutia unyonge
Mkuu, mimi ni kijana mmoja wa kawaida sana. Sema tu mimi ni mdadisi, ninasoma sana vitabu ndio maana ninajua mambo kadhaa hapa duniani hususan kuhusiana na siasa za kimataifa.
 
hiyo shujaa wa JF
Mkuu, mbona mimi sio shujaa kabisa? Mbona mimi ni kijana wa kawaida sana. Siku ukipata kuonana na mimi ana kwa ana ndio utaamini kuwa I am a very very normal person.
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† imagine huyu ndo angekuwa naye ni mmoja wa walio changa hiyo 50,000. Hapo lazima na wewe wangechanga ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…