Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Nimewaambia wanakataa kunielewa alafu ni umri kama wangu. Wamekomaa wanataka pesa zao aisee sio poa kabisa mkuu.
...kopa, pigaUa, upate 250,000/- za Watu uwarejeshee Comrade ili kuondoa hadithi...halafu mshukuru Mungu kwa Yote!
Kuna uwezekano kwamba aliyeziokota mama yake anaumwa vibaya na hakuwa na hela ya kumpatia matibabu...basi Mungu Mkubwa akaona kuwa kwa sababu ameishamalizana na roho ya ndugu yenu na zilizobaki ni mbwembwe tu za kuzika mwili akaona amsaidie huyu ambaye anapambania Uhai!
Shukuru Mungu tu Mkuu kwa Yote[emoji120]
 
Laki tatu unaweka kwa Wallet!? Hiyo ni wallet au handbag!?
Nyie mpaka mimi naonekana chizi kwa kucheka🤣🤣
 
Hahaha mkuu inaelekea kwako hakunaga cha bure
Ila Safi sana..........

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Wote mlifika?
 
Ningekua dar ningechukua hiyo kazi ya kuchimba shimo
Kazi anazozitaka mtu hazimsaidii kama hajazipata na wala kazi anazofanya mtu hazina umaana kama hazimpi mahitaji anayotaka
Well said, ila kazi ya kiume hiyo
 
Hahaha mkuu inaelekea kwako hakunaga cha bure
Ila Safi sana..........

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nilimpa hela aliyoiomba mwishoni ila nilitaka ajifunze. Usiombe pesa omba shughuli itakayokupa pesa. Hiyo ndio kanuni kuu ya maisha. Huyo dogo kuna siku alikuwa anabishana na watu kwenye kibanda umiza kulikuwa na mechi ya Man U katika hoja zake akasema unatumia nguvu sana kuongea mie natumia akili. So siku ile nilitaka ajue kuwa sometimes mwanaume unaishi kwa kutumia nguvu, akili au nguvu na akili kwa pamoja
 
Pole mkuu umeangusha au umeibiwa
 
Doooh, mzee baba hawakukuweka kikao cha ukoo kweli?
Ilikuwa ya mchango wa harusi,bw harusi nlikuwa namdai sasa nlipoletewa tu nkaona hapo hapo nijiongeze nlipata ya kuongezea Nauli
Pesa ilikuwa 760,000/ nilitambaaa mpaka Botswana
Hku nyuma nikawaachia kizaazaa a
Ila nilijilipa kwa style hiyooo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…