Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

Per BOT guidance and regulations,mkopeshaji lazima awe na leseni toka BOT. Kama huna na Mimi nakuja kukopa sikurudishii hili twende mahakamani. Hiyo biashara utafirisika na kukosa pesa zako. Kuna loopholes nyingi za kukuzika pesa zako.
Yaah nakazia hapa ..akasome Sheria ya huduma ndogo za kifedha ya 2018, na Sera ya Taifa ya huduma ndogo za kifedha ya 2017. Ajichanganye sasa .... Atapigwa Hamna hatoamini. (Azigoogle hivyohivyo )
 
habari za asubuhi Jf people?

Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.

watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu.

Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya

Kwa kila shilingi elfu 10, irejeshe Sh 500 kila siku.

Mkopo utakaa siku 14.

Jana nimetoa elfu 40, after two weeks ilete Riba ya Tshs 28,000

Je nipo sahihi au najiumiza kwa kiwango nilichoweka?

Je nikipandisha kwa kila elfu 10 izae buku kila siku nitakosea?

Note: mteja wangu ni mama ntilie

Habari
Unawazo zuri la biashara, ila kama mtaalamu wa haya mambo inaonekana hii biashara sio endelevu na haitachukua mda utuifunga kwasababu ya kuishiwa au kupoteza Mtaji au gawio.

"Unatakiwa kuachana na hii biashara kwanza kama ukiweza paka utapo pata majibu ya haya maswali"

1. Nakopesa watu waaminifu. Je, nitatumia kipimo gani kujua nani ni mwaminifu?
Suggestions:-
Hapa unaweza tengeneza form ambayo wahusika watajaza majina ya watu ambao watakuwa "Wadhamana wa tabia njema" au unaweza sema " Character referee".
Hakikisha referee wote sio ndugu wa waombaji. Hii ni kwasababu kama ni ndugu wanaweza kusema uwongo ili tu kusaidia ndugu yake kupata pesa.
Pili unatakiwa kujiuliza, Kwa nini huyu mtu ameandikwa kama referee? Je kuna faida yeyote ya referee atapata kupitia mwombaji kupata mkopo? Kwa nini amendikwa kuwa referee?

2. Ninakopesa pesa bila dhamana. Je, ikatokea mtu akashindwa kulipa au akaamua kutokulipa, nini nitafanya kupata pesa yangu?
Suggestions:-
a/Hapa unaweza kwenda polisi, lakini inaweza kuwa mda utao poteza na gharama nyingine za mahakamani zinaweza kuwa kubwa kuliko mkopo. Hii inaweza kuwa sio option nzuri

b/ Unaweza tumia Insurance. Ila kwa sababu unafanya vitu "casual" au sio rasmi sidhani kama watakubali kukupa insurance. Hii inaweza kuwa sio option. Ila unaweza kufuatilia kwa uzaidi.

Jaribu kujibu hayo maswali hapo Juu.

Je biashara inatija?

Kama unatoa Tshs40,000/= na unategemea kupata Tshs 28,000 baada ya wiki mbili. Hii inamaana utapata faida 70%(Tshs 28k/Tshs 4k). Lakini, upande wa pili una risk ya kupoteza 100% au Tshs 40,000.

Watu wa Bank, wanatoza riba ya 6% paka 15% kwa mwaka. Hii unaweza kusema ni kati ya 0.0023% paka 0.0057% kwa week mbili.

Wakati wenzako wanatoza riba ya chini ya 1% kwa mda wa wiki mbili, wewe unatengeneza asiliamia 70.Kwa haraka unaweza kuona "red flag"

Utapata faida Kubwa, kwasababu umekubali au upo tayari kupata hasara kubwa. Hii ni tabia mbaya kwenye maswala ya fedha. Hii inamaana leo unaweza kupata faida, na kesho ukapoteza pesa yote.

Asante.
 
Pesa hakuna mtaani Mkuu pamoja na uaminifu wa wateja wako lakini ukweli hali ni ngumu hivyo uwe tayari kutoiona hata senti moja kutoka Kwa wateja wako. I am talking from experience Mkuu of doing this type of business. Miaka ya nyuma biashara ilikuwa nzuri lakini sasa hivi utaishia KULIZWA TU!
habari za asubuhi Jf people?

Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.

watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu.

Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya

Kwa kila shilingi elfu 10, irejeshe Sh 500 kila siku.

Mkopo utakaa siku 14.

Jana nimetoa elfu 40, after two weeks ilete Riba ya Tshs 28,000

Je nipo sahihi au najiumiza kwa kiwango nilichoweka?

Je nikipandisha kwa kila elfu 10 izae buku kila siku nitakosea?

Note: mteja wangu ni mama ntilie
 
Pesa hakuna mtaani Mkuu pamoja na uaminifu wa wateja wako lakini ukweli hali ni ngumu hivyo uwe tayari kutoiona hata senti moja kutoka Kwa wateja wako. I am talking from experience Mkuu of doing this type of business. Miaka ya nyuma biashara ilikuwa nzuri lakini sasa hivi utaishia KULIZWA TU!
Asante sana kwa ushauri mkuu.

nitajitahidi kukopesha watu maalum tu.

Jana nimepokea 68,000 baada ya kukopesha 40,000 in two weeks max.

mwingine kalipa tena 120,000 riba inclusive.

mwingine kapiga simu akope laki 1, nimemkatalia sana nimewaza kutapeliwa😅😅😅. Laki 1 marejesho jumla na mkopo 250,000. hio ntapigwa😎😎
 
Hiyo biashara utaifurahia tu mwanzoni, ila baadaye lazima ikumalize. Kifupi watu wanahitaji hela na ww unawapa hela hakuna atakayekataa suala la kurejesha hiyo ni habari nyingine kabisa.
Alijaribu mama mmoja hivi kuniletea masikhara kwenye hela yangu, ananicheleweshea pesa!

nilimwambia kitu kimoja tu kwenye simu, hivi wakurya unawajua vizuri wewe?

kisha nikakata simu, kesho yake akaleta hela na hajakopa tena mpaka leo😅😅
 
Pesa hakuna mtaani Mkuu pamoja na uaminifu wa wateja wako lakini ukweli hali ni ngumu hivyo uwe tayari kutoiona hata senti moja kutoka Kwa wateja wako. I am talking from experience Mkuu of doing this type of business. Miaka ya nyuma biashara ilikuwa nzuri lakini sasa hivi utaishia KULIZWA TU!
Hahahahah ni kipigo tu! Watu wanakopa hawalipi!
 
habari za asubuhi Jf people?

Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.

watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu.

Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya

Kwa kila shilingi elfu 10, irejeshe Sh 500 kila siku.

Mkopo utakaa siku 14.

Jana nimetoa elfu 40, after two weeks ilete Riba ya Tshs 28,000

Je nipo sahihi au najiumiza kwa kiwango nilichoweka?

Je nikipandisha kwa kila elfu 10 izae buku kila siku nitakosea?

Note: mteja wangu ni mama ntilie
Naanza kukupa pole kwanza.
 
Ni wazo zuri, japo mamlaka nazo zipo kazini ukinasa ni mambo mengine.
Kama unajiamini fanya hivi kopesha kuanzia elfu20 hadi elfu 60 mwisho usiende zaidi ya hapo hata kama mtu atataka kuacha dhamana ya kiasi gani atm si vitu vya ndani achana naye kama elfu60 kama mkopo wa juu kwako utakuwa mdogo kwake.
Kuhusu riba fanya riba kuanzia 30% hadi 35% na mkopaji arejeshe mara tatu kwa mwezi kila baada ya siku 10
Mfano mtu akikopa tshs 20,000 pamoja na riba itakuwa 26,000 au 27,000 kila baada ya siku kumi atarejesha sh 8,700 ama 9,000
Ikiwezekana mtu anayejiita mtumishi wa umma achana naye wengi wasumbufu sana.
Fanya hivyo kwa umakini mkubwa sana, ukikosea kutoa mkopo hesabu maumivu.
Kila mteja hakikisha anaanza na elfu 20 huku ukimsisitiza ataendelea kupanda akiwa mwaminifu usitake faida ya haraka tengeneza base ya wateja wengi na waaminifu.
 
Inatosha kusema no RISK no Big profit

mtaji umefika 250,000 kutoka laki 1.

Biashara unajitangaza yenyewe😅😅

nimerekebisha riba kidogo

........

jana nimetoa hivi

mkopo elfu 60, riba 15,000
huyu kajichoma mwenyewe kwa siku 7

mwingine 50,000. riba elfu 10.

bado nampanga mmoja wa laki 1. riba naweka elfu 60 kwa siku 30.

SILAZIMISHI MTU KUKOPA
 
Najipanga kuanza biashara ya mifuko hii ya vifungashio. Nasikia faida yake kwa pakti ni 300 au 500 (kwa mjini) mpaka 800 kwa maeneo ya vijijini
IMG_20211004_182250_043.jpg
 
riba ni mbaya hata mwenyezi mungu hapendi,utapata pesa kwasasa ila baadae mambo yatachange zile riba zote uliopokea zitayeyuka kama mshumaa
Mabenki yanakopesha kila siku kwa riba kubwa..ila ndio yanamiliki uchumi wa dunia hili unaliongeleaje..kwahiyo ni bora ukaibe kuliko kukopesha kwa riba..ebu toa ujinga wako hapa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ni shwari kabisa. Biashara inasonga vyema kimya.kimya..

nina uhakika wa Tsh elfu 50 kwa wiki kama riba (net profit)

mtaji wa laki 3.

wateja wangu ni wale wale.

1. Boda boda (nawakopesha 10k marejesho 12k)

2. wamama wauza samaki na dagaa

3. wamama wa kanisani!

4. wamama wa vikundi

(sharti ni kuweka mali bondi kama sikujui vizuri)
 
Back
Top Bottom