Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Hatimae aquos zero 6 5G imekubali kupokea android version 13, sii badilishi mpaka HOT 60 PRO + inifikie
 
 
Samsung ni Samsung kaka hatya ingekuwa Duocore II haiwezi lingana na Infinix hata Hot 1000
Mkuu utakuwa Bado aujui simu nakwambia Mimi siongelei ushabiki Samsung Kali ni note series na s series ila hizi a series nyingi zinazidiwa na Tecno na infinix
 
Mkuu utakuwa Bado aujui simu nakwambia Mimi siongelei ushabiki Samsung Kali ni note series na s series ila hizi a series nyingi zinazidiwa na Tecno na infinix
Infinix zina stuck sana ,infinix ni Tecno iliyochangamka ,Itel ndiyo Tecno ya bei ya jioni.

Samsung Baba lao...Samsung ni mkataba.
 
Hizo zinafanana specs... Ila samsung android yake itakuwa updated zaid ya infinix.
Hazifanani infinix hiyo ni Bora zaidi kwa Kila kitu kuanzia perfomance,sipidi mpaka camera🔥. Samsung a series anacho mzidi infinix hot 60 ni ndroid update ya haraka bhasi.
 
Haya njoo kwenye point simu gani Bora ?
 
Labda kama A10 series. Ila A50 series ukaifananishe na infinix kweli 😄😄😄
Ewaaaah ndio hivyo kabisa kwa tunao juwa simu infinix hot 60 pro + inazidi a series nyingi sana ni simu nzuri sana kwa bei hiyo binafsi hata Mimi ningefanya chaguzi kama ya jamaa hapo ,

Hiyo infinix ni nzuri sana kuanzia perfomance, sipidi Hadi camera 🔥
Anae chukuwa Samsung a 14 anaacha infinix hot 60 uyo ajui simu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…