comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Wewe kafanye ulichopanga mwanzo kulingana na bajeti yako, ukiendekeza watu wa hapa hutaendelea.🤣🤣🤣
Km mi Nina kihela changu hapa ila naona nishapata stress,acha niendelee kuizungusha
Maana comment zinakufanya uwe dilemma huelewi uchague ipi
Kama unataka A nunua ya 50 series. Hiyo ni nzuri. Mimi natumia hiyo series ya 50. Tangu A50 mpaka leo A56. Ni simu nzuri hazina shida wala huwezi fananisha na hizo shida za kampuni nyingine
🤣🤣 Samsung ndo option yangu ya kwanza ,s series...Wewe kafanye ulichopanga mwanzo kulingana na bajeti yako, ukiendekeza watu wa hapa hutaendelea.
Futa kauliSamsung A series hazina utofauti na infinix.
Wa kike nao wana punyeto. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. 🙂 🙂
S bei imechangamka🤣🤣 Samsung ndo option yangu ya kwanza ,s series...
Sema SS zina matoleo mengi mpk sio poa huelewi og ipi feki ipi yaani ni vurugu
sijui kama infinix wanatoa simu kila baada ya miezi mitatu, ninachojua matoleo ya smart, hot, na note hutoka kila baada ya mwaka fuatilia utaona. swala la simu kuganda ganda inategemea na mfumo wa memori, prosesa na ukubwa wa ram. mifumo ufs, na ram ya kubwa ya gb 8 inasaidia maana android hutumia ram nyingi kutokana background tasks kuwa nyingi pia. hot 60 pro ina gb 8 na mfumo wa memori ya UFS, japo prosesa yake ina utendaji wa wastani si mkubwaDuh utanunua hiyo hot 60 Leo,baada ya mwaka Iko hot 80 uliyonsyo inaanza ku stuck
Innix Kila baada ya 3 month wanatoa
Ndo ninakwambia SS, Infinix hawakai mwaka ,mi nimeinunua hot 12 mwaka juzi sshv Kuna hot 60 within 2 yrs..12-60 unaweza ukaona hapo wanatoa Kila baada ya muda Gani cm,kawaida Kwa infinix sio km iphone na Samsungsijui kama infinix wanatoa simu kila baada ya miezi mitatu, ninachojua matoleo ya smart, hot, na note hutoka kila baada ya mwaka fuatilia utaona. swala la simu kuganda ganda inategemea na mfumo wa memori, prosesa na ukubwa wa ram. mifumo ufs, na ram ya kubwa ya gb 8 inasaidia maana android hutumia ram nyingi kutokana background tasks kuwa nyingi pia. hot 60 pro ina gb 8 na mfumo wa memori ya UFS, japo prosesa yake ina utendaji wa wastani si mkubwa
Nina samsung A21s ya 2020 ipo na ukali wake ule ule wala haistack lakini nfinix ya juzi mwaka jana smart 8 leo linastack na lipo slow balaaaSamsung A series hazina utofauti na infinix.
ni kwasababu wanatumia vioo vya high qualityUbaya wa Samsung ikiharibika kioo imekula kwako. Nina Note 10+ imepasuka kioo chake dukani unajipatia infinix mpya au tecno. Imebaki ndani kama pambo tuu.
Kama unataka Note series naona Note 10+ haina kelele sana zinazofwata juu yake hizo 20 hakuna jipya la zaidi
Asante nimemwambia mtu hapa Infinix Ina stuck Sina hamuNina samsung A21s ya 2020 ipo na ukali wake ule ule wala haistack lakini nfinix ya juzi mwaka jana smart 8 leo linastack na lipo slow balaaa
Usilinganishe upuuzi na SIMU
Asante nimemwambia mtu hapa Infinix Ina stuck Sina hamu
Sitaki
Cm nimeinunua mwaka juzi July hot 12 Leo Kuna hot 60🤣 within 2 yrs
Lzm izingue tu matoleo hayo atanunua nani
mkuu nina samsung A21s ya 2020 nilinunua lak 2 na 80 ipo mpaka leo na ukali wake ule ule haijawai stack hata siku moja ila kuna infinix hapa kutoa lock tu unasubiri nusu dakika ndo inafika home screen
Sawa, AsanteShida sio jina la simu. Bali shida ni bei ya simu hiyo.
Ukinunua samsung ya laki 2. Ama 3 nayo inaganda pia.. na ukinunua infinix ya milioni ama laki nane. Huwezi kukuta inaganda ganda.
Anaewatengenezea chipset yaani ubongo wa simu za Samsung za A series Ndie huyo huyo anaewatengenezea ubongo kwenye simu za Infinix .
Anaitwa MEDIATEK.
hivyo kuganda kwa simu sio jina la simu. Bali ni bei ya simu kutokana na chipset iliyowekwa.
Usitegemee kupata quality kwa bei Cheap.
Mfano mimi natumia samsung A35 inayouzwa laki 7. Yenyewe pia ina chipset ya mediatek sawa sawa na simu za infinix zinazouzwa laki 7
Infinix zero 40A56 utailinganisha na infinix gani
We ndio ulichelewa nunua simu,Asante nimemwambia mtu hapa Infinix Ina stuck Sina hamu
Sitaki
Cm nimeinunua mwaka juzi July hot 12 Leo Kuna hot 60🤣 within 2 yrs
Lzm izingue tu matoleo hayo atanunua nani