Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Soma hapa unshielded hapahapa hakuna maoni bora zaidi ya huyu mwamba.Ninachoweza kusema huyo ni mtoto wa mama na huenda mpaka anafika hapo mama amechangia.
Ukifuatilia watoto wa kiume wengi wasumbufu ni wale mama's boys. Na pindi baba alipokuwa anachukua hatua dhidi yake ili kuweka sawa anapokosea mama alimkumbatia. Na kama sivyo alilelewa bila baba.
Ukimfungulia mashtaka atakayeumia ni mama yako. Akitupwa rumande kwa onyo mama ataenda kumtoa. Kaa na mama uone hilo kama litamfurahisha usijegeuka adui wa wote.
Huyo kaka yako kaharibiwa na mama yako kwa 100% wewe mwenyewe unajua...
Mkuu nilipanga kuandika hivi ...Kuna mtoto kaka kaharibika hivi tunaona shemeji yetu kamuharibu vibaya mno sasa hivi ana ngoma na dawa mara anywe akipata unafuu anaacha anazidiwa tena