uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Hapo anzeni kuiba nguo zake mnaenda nazo kanisani na kuzisemea maneno mnavyotaka awe kama ni ahame basi muwe na muendelezo n.k
Yes hapo lazima mama aliplay part mbaya kwenye malezi bila ye kujua ndio matokeo yake
Mama boys wanatesa sana familia zao ukubwani sema basi ni hakuna namna